Watanzania walioguswa na matendo ya kidhalimu ya utekaji waamua kusali na kufunga kumlilia Mungu

Umeongea sahihi kabisa ni kweli swala la utekaji limewaumiza wengi ila hata Yesu alisema ya Kaisari mwachie kaisari. Hatupaswi kumpangia Mungu afanye nini kama vile Haoni, wakina, petro, yakobo, Poul na mitume wengine waliuliwa na watawala tena hawa ni mitume inamaana watu walikuwa hawawaombei. Mimi sikstai watu wafunge na kuomba kuhusu swala hili ila result ya maombi siyo yawe yale ambayo huyo muombaji anayoyataka, Kwahiyo mesage yapo ipo sahihi, Mtu unapokwenda kwa Mungu usiende na majibu yako.
 
Ukishaona unahitaji kumuomba Mungu, (mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote), huo ni ushahidi kwamba Mungu hayupo.

Angekuwepo, usingehitaji kumuomba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ