Watanzania waliohukumiwa China, Jack Cliff na Binti Kiziwi wanaendeleaje?

Binti kiziwi kama ni yule wa kwenye ule wimbo kazuri sana
 
Hata wakitoka hao (kama kweli wako hai) watatafuta asylum nchi nyingine Bongo itakuwa fedheha sana kwao.
Asylum ina grounds zake mkuu sasa nchi za watu huko ukiwe ka record za drug trafficking ni mtihani sana watu kukupa asylum
 
mwenye taarifa za ukweli aseme jamani.. ni kweli binti kiziwi wamenyonga??
 
Hong Kong na Macau hawanyongi.. Na hata China mainland Wabongo hawanyongwi
 
Hong Kong na Macau hawanyongi.. Na hata China mainland Wabongo hawanyongwi
China mainland wanapiga risasi kuna mtoto wa kibongo alirejeshwa afu baba na mama yake wakala shaba
 
Hong Kong na Macau hawanyongi.. Na hata China mainland Wabongo hawanyongwi
China mainland wanapiga risasi kuna mtoto wa kibongo alirejeshwa afu baba na mama yake wakala shaba
 
Duh kuna mtu namjua anaitwa simba kasanzu alikamatwaga China mpaka sahv ni zaidi ya miaka 20 hajarudi duh

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…