GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Hao ni watu, uvumilivu ni usipokuwa na chakula kwa watoto wako, kazi, kwamba wahuni wamekata umeme.Sisemi kwamba ni wakamilifu, lakini kwa matendo yao, wameonesha kuwa wanao uvumilivu mkubwa wa kisiasa, na hivyo ni sahihi au ilikuwa sahihi kwa wao kushika nafasi kubwa za kisiasa nchini...
Mara nyingi( viongozi wa kiislam) are relatively Good as compared to Others.Kwa nini Ali Hassan Mwinyi?
1. Alipokuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, askari waliokuwa chini ya Wizara yake wslipotuhumiwa kukiuka haki za binadamu, aliamua kujiuzulu bila kushinikizwa
2. Muda mfupi baada ya kujiuzulu, aliyeteuliwa kuchukua wadhifa aluouacha alimshinikiza kuondoka kwenye nyumba aliyokuwa akiishi bila kuchukua baadhi ya Mali zake halali. Alikuja kurejeshewa baada ya kuwa Rais wa JMT
3. Alipokuwa Rais, hakulipiza kisasi kwa watu waliowahi kumtendea mabaya kabla ya jukwaa Urais
4. Kwa ufupi, ni Rais ambaye hana nongwa na mtu
List haijamaliza woote.Lissu ayupo listed
Pamoja na kupgw lisasi zote akapamban uhai wake bado yupo kwenye uliko wa siasa , Huwez muacha Huyu mtu
Hao ndio mababa wa Taifa hili!Sisemi kwamba ni wakamilifu, lakini kwa matendo yao, wameonesha kuwa wanao uvumilivu mkubwa wa kisiasa, na hivyo ni sahihi au ilikuwa sahihi kwa wao kushika nafasi kubwa za kisiasa nchini.
Miongoni mwao ni hawa wafuatao:
1. Mzee Ally Hassan Mwinyi
2. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete
3. Freeman Aikaeli Mbowe
4. Edward Ngoyai Lowassa
5. Mzee Joseph Warioba
Eleza kwa nini unaamini kuwa watajwa wameonesha uvumilivu wa kisiasa.
Ya Dr Ulimboka kung'olewa meno umeyasahau?Kwa nini Dr. Jakaya Mrisho Kikwete?
1. Utawala wake ulishuhudia kelele nyingi za ukosoaji bila ya wakosoaji kusulubishwa
2. Kutokana na kupenda kwake Demokrasia, wengine ilifikia hatua wakamwita Rais dhaifu, lakini staili ya aliyemfuatia baada yake iliwafanya watu waukumbuke utawala wake. Ndiye Rais pekee aliyewahi kukaa meza moja na wapinzani Ikulu na kunywa nao juisi
3. Misimamo yake iliendana na moja ya kauli mbinu zake kuwa "hoja haipigwi rungu bali hujibiwa kwa hoja"
4. Uongozi wake ulikubalika ndani na nje ya Tanzania. Kipindi cha utawala wake kilishuhudia viongozi wa mataifa makubwa wakiitembelea Tanzania, mfano George Bush na Barack Obama
Ya Dr Ulimboka sifahamu saaana japo iliongelewa sana, labda niseme sijafuatilia kiviile!Ya Dr Ulimboka kung'olewa meno umeyasahau?
Vipi kuhusu ya Mwangosi Daudi
Sijawataja wote mkuu!Lissu ayupo listed
Pamoja na kupgw lisasi zote akapamban uhai wake bado yupo kwenye uliko wa siasa , Huwez muacha Huyu mtu