Watanzania waliopata umaarufu wa ghafla mitandaoni na kisha kupotea…

Watanzania waliopata umaarufu wa ghafla mitandaoni na kisha kupotea…

Kivumbi leo, mwamba clip zake zilitapakaa Zuchu akaona isiwe kesi..
images (33).jpeg
 
Ongeza na Hawa.
# yule wa uokozi wa abiria wa ajali ya ndege Bukoba.
# Yule dogo wa Bukoba aliemshitaki Baba yake polisi..kwa sasa anasoma huko Kilimanjaro.
 
Kuna yule mzee mfupi Mzanzibari mwenye matusi (kocha).
 
Kisha wakapotea.....

Kwamba we huwasikii kabisa na huwaoni au wamekufa?
 
Hatari fire
Pierre Atabaki 120, atabaki kileleni
 
Ziko na hizi chawa sasa hivi zinasumbua ila si muda zitakuwa history
 
"Ndugu abiria,tunakaribia mlima kitonga.Kila mmoja asali maana tukifika hapo nawamwaga"

HUyu dereva wa basi alipotelea wapi?

Ndugu abiria, Pastor anaekemea mapepo mwambieni aache nina maruhani yatapanda muda si mrefu.
 
Back
Top Bottom