Dah huyu nilishamsahau aseme alikuwa na vionjo flani hivi utahisi ni kitu seriousAf mwamba alikua na glass of water pemben na miwani yake kubwa 🤣🤣
sele bungara ""bwege""
Bwege alikuwa master aiseee
Ntamtafuta nimuweke hapo kwenye orodha 😀TAFUTAA HELAA WEWEEEE
Simjui jina lake
Kwisha habari yaoWazee wa makoti
"Ndugu abiria,tunakaribia mlima kitonga.Kila mmoja asali maana tukifika hapo nawamwaga"
HUyu dereva wa basi alipotelea wapi?