Watanzania waliopata umaarufu wa ghafla mitandaoni na kisha kupotea…


Miso misondo
 
Chikumbalanga kama sijakosea jamaa alitrend kama zoba flani hivi sijui kapotelea wapi
 
Acha ujinga, mi bado maarufu japo hakuna siku niliomba wala kutaka kuwaa maarufu. Mi naendelea kuuza madafu yangu tu.
 
Kwa sasa anaye trend kitaifa na kimataifa kuzidi wote waliowahi kutokea ni shemeji wa taifa Bongo Zozo fujo isiyo umiza na mama Jesca
 

Attachments

  • Screenshot 2024-09-04 080708.png
    160.2 KB · Views: 7
Wakati Yanga ilipofungwa na Simba mabao 5-0 wakati fulani Steven alilia sana, akapigwa picha mbalimbali, akahojiwa na redio na televisheni huku akiwa anabubujikwa machozi, akawasimanga waamuzi kuwa ndiyo chanzo cha klabu yake kufungwa. Alipata umaarufu baada ya video zake kuzagaa mitandaoni. Leo hii Steven ni shabiki mkubwa wa Azam.😂
 
Huyu mzee wa Yanga aliyeiburuza Yanga mahakamani naye aingizwe kwenye orodha fasta mkuu.
 
Umemsahau marehemu Lemutuz..na usemi wake wa swekeni, the case is closed, na mazafanta
 
Sas ivi yupo shaban madobe anatrend sana tiktok
 
Sasa hiv tuko na shaban
 
Sio shabiki ni mfanyakazi wa Azam Media.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…