Watanzania waliowahi kushitakiwa kesi za uhaini Tanzania

Elias Msuya

Platinum Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
267
Reaction score
1,014
WhatsApp Image 2025-04-10 at 16.38.45.jpeg

Wakati Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu akifikishwa mahakamani na kusomewa shitaka la uhaini, kumekuwa na hisia tofauti kuhusu kosa hilo, hasa ikizingatiwakuwa kiongozi huyo amekamatwa akiwa kwenye mikutano ya No Reforms No Election (Hakuna Mabadiiliko Hakuna Uchaguzi), inayofanywa na Chadema.

Je, ukubwa wa makossa ya uhaini ni upi? Kesi hii itakuwa na matokeo gani kisiasa na kijamii? Watanzania gani waliwahi kuguswa na kesi kaka hizi?

Lissu alikamatwa Aprili 9, 2025 wilayani Mbinga Mkoa wa Ruvuma muda mfupi baada ya kukamilisha mkutano wake wa jioni.

Awali Polisi walikusanyika katika mkutano huo na baada ya mkutano kumalizika walifika na kutaka kumkamata. Baada ya majibizano na walinzi wake, polisi walianza kufyatua mabomu ya machozi ili kutawanya wananchi na ndipo walipomchukua Lissu.

Wakati viongozi wa Chadema wakiulizana huku na kule, ikajulikana kuwa Lissu amefikishwa jijini Dar es Salaam.

Taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Marco Chilya leo Aprili 10, imesema Lissu alikamatwa Aprili 9 katika Mtaa wa Soko Kuu, Wilaya ya Mbinga kufuatia tuhuma zilizokuwa zinapelelezwa za kufanya uchochezi wa kutofanyika uchaguzi Mkuu 2025.
Kamanda Chiya amesema mtuhumiwa huyo anahojiwa juu ya tuhuma hizo Dar-es- Salaam.kati

Wakati Polisi wakisema hivyo, Mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu wa Chadema, Gaston Garubindi aliyekuwepo Kituo Kikuu cha Polisi cha Kanda Maalum ya Dar es Salaam, alisema Lissu anatuhumiwa kwa makossa ya uhaini na kusema uongo.

Mashitaka ya Lissu

Alipofikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, Lissu alisomewa mashitaka na upande wa Jamhuri kuwa ni ya uhaini. Kwamba mshitakiwa alitengeneza nia kwa umma kwa kutoa maneno yenye kuashiria uasi.
Kwa mujibu wa hati ya mashitaka iliyotolewa na ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali leo Aprili 10, 2025, imedaiwa kuwa Aprili 3, 2025 ,Tundu Antiphas Lissu ndani ya Jiji na Mkoa wa Dar es Salaam, akiwa raia mwenye utii kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakati akiwa ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alinuia kuchochea umma kuzuia uchaguzi mkuu wa Tanzania wa mwaka 2025, na alidhihirisha nia hiyo kwa kumtisha Mtendaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutamka na kuchapisha maneno:
"...walisema msimamo huu unaashiria uasi, ni kweli.... kwa sababu tunasema tutazuia uchaguzi tutahamasisha uasi, hiyo ndiyo namna ya kupata mabadiliko... kwa hiyo tunaenda kukinukisha... sanasana huu uchaguzi tutaenda kuuvuruga kweli kweli... tunaenda kukinukisha vibaya sana..."

Mbali na tuhuma hiyo, Lissu pia anatuhumiwa kwa makossa mengine yakiwamo ya
kuchapisha taarifa za uongo kwamba, “Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024 uliharibiwa kwa maelekezo ya Rais (YouTube),” “Polisi wanatumika kuiba kura wakiwa na vibegi. (YouTube)” na “Majaji ni wa CCM hawawezi kutenda haki, ni wateule wa Rais wanataka uteuzi wa majaji wa rufani. (YouTube).”

Pamoja na kumkamata Lissu, huko Songea mkoani Ruvuma, polisi wamevamia ofisi ya Chadema na kuwataka viongozi waliokuwepo akiwamo Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), John Heche kufika kituo cha polisi cha mkoa huo, huku pia wakiwatawanya watu walikuwa wamekusanyika katika uwanja wa Shule ya Msingi Matalawe kwa ajili ya mkutano wa hadhara.

Kukamatwa huko kwa Lissu kumekuja wakati akiwa ameshamaliza mikutano ya No Reforms No Election katika Mikoa ya Lindi na Mtwara na ndio alikuwa ameingia mkoani Ruvuma. Mikutano hiyo ilianzia Mikoa ya Nyanda na Juu Kusini yaani Mbeya, Songwe, Rukwa na Katavi.

Wanajeshi waliotaka kumpindua Nyerere

Lissu hatakuwa Mtanzania wa kwanza kushitakiwa kwa kesi ya uhaini nchini. January 9, 1982 baadhi ya maofisa wa Jeshi walishitakiwa kwa kupanga kuipindua Serikali ya Tanzania na kumuua Rais wake, Mwalimu Julius Nyerere.

Hilo lilikuwa jaribio la tatu kubwa baada ya lile la Januari 1964 linalojulikana kama "Maasi ya kijeshi ya mwaka 1964" na Oktoba 1969.

Kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi, walioshiriki katika mipango hiyo ni Watanzania 19 wakiwamo wanajeshi 14. Waliofikishwa mahakamani kujibu mashtaka hayo ni Hatty MaGhee, Kapteni Christopher Kadego, Luteni Eugene Maganga na Suleiman Kamando, Kapteni Vitalis Mapunda, Kapteni Roderic Roberts, Paschal Chaika, Luteni JOhn Chitunguli, Luteni Mark Mkude, Kapteni Oswald Mbogoro na Kapteni Zacharia Hans Pope.

Wengine waliofikishwa mahakamani ni Luteni Badru Kajaje, Christopher Ngaiza, Luteni Gervas Rweyongeza, Luteni Otmar Haule, George Banyikwa, Zera Banyikwa, Luteni Nimrod Faraji na Livinus Rugaimukamu.

Kesi hiyo iliunguruma kwa mwaka mzima wa 1985 na ilipofika Desemba 28, hukumu ilitolewa.

Desemba 26 Jaji Kiongozi Nassor Mzavas alianza kutoa maelezo ya hukumu ya kesi ya uhaini kwa kuchambua ushahidi wa pande zote za mashtaka na utetezi hadi alipotoa hukumu Jumamosi ya Desemba 28, 1985.

Baada ya kutumia saa tano Desemba 26 kuchambua ushahidi wa pande hizo, Desemba 27, aliendelea kusoma hukumu hiyo wakati Mahakama ilipoendelea na kikao chake.

Mapema Jaji Kiongozi alikumbusha maoni yaliyotolewa na wazee wa baraza ambao waliona washtakiwa kadhaa wana hatia na baadhi yao hawana hatia.

Jaji Kiongozi alisema washtakiwa ambao mzee wa tatu wa baraza, Anne Kirundu aliwaona wana hatia ni saba wa mwanzo na mshtakiwa wa nane, Kapteni Zacharia Hans Poppe na wa tisa, Luteni Kajaja (kwa kosa la kujua njama na kutotoa ripoti).

Hata hivyo, mshtakiwa wa 11, Luteni John Chitunguli; mshtakiwa wa 13, Christopher Pastor Ngaiza, wa 15 Luteni Otmar Haule, wa 16 George Banyikwa; mshtakiwa wa 17 Zera na mshtakiwa wa 19 Livinus Maximillian Rugaimukamu walionekana na Anne Kirundu kuwa hawana hatia.

Akitoa hukumu hiyo Jumamosi ya Desemba 28, 1985, Jaji Kiongozi Mzavas alisema nia ya washtakiwa hao wa njama za uhaini ilikuwa kurekebisha kile walichofikiria kuwa ni hali mbaya ya kiuchumi isiyo na matumaini inayosababishwa na uongozi duni wa Serikali ya Kijamaa, “lakini siwezi kufumbia macho ukweli kwamba ikiwa mapinduzi yangefanyika, watu wengi wangepotea,” alisema Jaji Kiongozi, Nassor Mzavas.

Aliwahukumu Watanzania tisa, wakiwamo maofisa wanane wa jeshi na rubani wa ndege za ATC, vifungo vya maisha gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kupanga njama za kuipindua Serikali miaka mitatu iliyokuwa imepita.

Washtakiwa wengine sita, pamoja na Christopher Ngaiza, ambaye alikuwa mshauri wa zamani wa Rais Julius Nyerere, waliachiwa huru.

Waliohukumiwa kifungo cha maisha ni Luteni Eugene Maganga, Kapteni Metusela Suleiman Kamando, Kapteni Zacharia Hans Pope na Kapteni Vitalis Gabriel Mapunda.

Wengine ni Kapteni Dietrich Oswald Mbogoro, Luteni Badru Rwechungura Kajaja, Hatibu Gandhi au Hatty McGhee na Kapteni Christopher Kadego.

Hata hivyo, baada ya wengine wanne kuachiwa huru Agosti 1985 na kubaki 15, siku ya hukumu wengine waliachiwa huru wakati wenzao wakihukumiwa kifungo cha maisha gerezani.

Kesi ya Maalim Seif na wenzake

Mwaka 1988, aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) na baadaye Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad na wenzake saba walifukuzwa uanachama wa CCM baada ya kutofautiana kimsimamo na chama hicho kabla ya siasa za ushindani kurejeshwa.

Wengine waliofukuzwa pamoja na Maalim Seif ni Machano Khamis Ali, Ali Haji Pandu, Shaaban Khamis Mloo, Khatib Hassan, Soud Yussuf Mgeni, Suleiman Seif Hamad na Hamad Rashid Mohammed.

Baadaye walishtakiwa kwa kosa la uhaini, lakini waliachiwa. Baada ya kuachiwa walianzisha vuguvugu la Kamahuru na baadaye chama cha Zanzibar United Front iliyokuja kuungana na Civic Party ya marehemu James Mapalala na kisha kuunda CUF.

Uhaini ni nini?

Kwa mujibu wa Kanuni ya Adhabu, sehemu ya II inayoeleza Makosa, Makosa Dhidi ya Utulivu wa Umma, inatafsiri Uhaini. Kifungu cha 39 (1) kinasema, Mtu yeyote ambaye, akiwa na utii kwa Jamhuri ya Muungano(a) akiwa ndani ya Jamhuri ya Muungano au mahali pengine popote, anamuua au kujaribu kumuua Rais; au akiwa ndani ya Jamhuri ya Muungano, anaanzisha vita dhidi ya Jamhuri ya Muungano, basi atakuwa na hatia ya uhaini na atastahili kuhukumiwa adhabu ya kifo baada ya kutiwa hatiani.

Kifungu cha 39(2) kinasema, Mtu yeyote ambaye, akiwa na utii kwa Jamhuri ya Muungano, akiwa ndani ya Jamhuri ya Muungano au mahali pengine popote, anaunda nia ya kutekeleza au kusababisha kutekelezwa, au anaunda nia ya kuchochea, kushawishi, kushauri au kuelekeza mtu au kundi la watu kutekeleza au kusababisha kutekelezwa kwa mojawapo ya vitendo, matendo au madhumuni ya kifo, kulemazwa au kujeruhiwa, kifungo au kuzuiliwa kwa Rais; au kumuondoa Rais kwa njia zisizo halali kutoka katika nafasi yake ya Urais au kutoka katika heshima, hadhi na jina la Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Jamhuri ya Muungano.

Au kupindua kwa njia zisizo halali Serikali ya Jamhuri ya Muungano; au kutisha, Bunge, Mahakama au Serikali Kuu ya Jamhuri ya Muungano, na anaonyesha nia hiyo kwa kuchapisha maandishi yoyote au kwa tendo lolote la wazi au kitendo chochote, atakuwa na hatia ya uhaini na atastahili kuhukumiwa adhabu ya kifo baada ya kutiwa hatiani.
 
Huyu MHAINI alitenda kosa 3.04 akaachwa aendelee kutenda kosa hili mpaka tarehe 9.04.ina maana muda wote wa siku 6 (wiki)vyombo vya usalama vilikuwa bado vina load!

So atahukumia kunyongwa au kifungo cha maisha kama akina kapteni kadego na wenzake
 
Wacha wabambike uhaini ila wakumbuke siku yenyewe wakitokea Wahaini wa kweli wananchi watawapuuza kwamba hao kila mara wana cry wolf.
 
..Mwinyi miaka 10 hakuna uhaini.

..Mkapa miaka 10 hakuna uhaini.

..Kikwete miaka 10 hakuna uhaini.

..Magufuli miaka 6 hakuna uhaini.

..Samia miaka 4 kuna uhaini wa Mbowe, Slaa, na Lissu.
Ongeza na mwabukusi na mdude
 
View attachment 3299236

Giza haliwez kuishinda nuru
 
Asante kwa ufafanuzi mzuri.Tumekuelewa.
 
Naona maskini Niffer naye kaingizwa uko
 
Back
Top Bottom