Safari zenu za ukimbizi na kufanya kazi nje ya nchi zimewapa kiburi na sasa mnategemea nchi za kimagharibi kuwasaidia katika kupata malengo yenu.
Ila kwa sasa itakuwa mumechelewa sana sana kutegemea wazungu ,haya mambo ya kutegemea ughaibuni na nyinyi kutumiwa kutekeleza uasi kwa serikali ,nilimsikia huyo ndumila kuwili Slaa anaepalilia moto na kutaka WaTanzania wahudhurie mkutano eti wafike hamsini milioni.
Yaani siku hizi Chadema wanawadanganya wananchi eti dunia imeshatambua, vyombo vya habari vya nchi za wazungu zinatangaza mambo ,watawatangaza sana tu na hata silaha mkitaka watawapa ili kusiwepo na uchaguzi.
Huko kwao wazungu kunawaka moto wanatafuta pakujificha kila wanapopashika panaunguza ,wameenda Ukurane wameshindwa,wametaka Ghaza mpaka leo ,wameendea Bokinafasoo wamekamatwa ,wanaona bado na sasa nato na ncho za ulaya zimetangaza kutafuta vibaraka humu africa, wameambiwa Africa ya leo sio ile mliogaiana ,kwa sasa hakuna tena mgao.
Ushauri kama mnaadaa mambo yenu msihirikishe vyombo au mashirika ya wazungu mtaumbuka.
Kama mnataka ushauri nendeni China au Urusi ila kwa hawa mazungu mnaboa sana na mmeishiwa mnatafuta mascrepu.