Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Majinga sana haya majitu.Wasanii wa Tanzania watakufa baada ya ccm kung'olewa, wala usihangaike nao, wana muda mfupi sana
Watu wameshaelewa NRNEJamaa ka-post video ya show zake watu wanatiririka na comments za NO REFORMS,Nr NO ELECTION na hatimae imebidi afute hiyo video huko instragram.
Viongozi wa dini kama kina Malasusa na wengineo wajiandae.
Tutaelewana tu.
Jamaa ka-post video ya show zake watu wanatiririka na comments za NO REFORMS, NO ELECTIONS.
Viongozi wa dini kama kina Malasusa na wengineo wajiandae.
Tutaelewana tu.
Mkuu, mnampango wa kuwaua mkishakamata dola ?🐼Wasanii wa Tanzania watakufa baada ya ccm kung'olewa, wala usihangaike nao, wana muda mfupi sana
Wapumbavu sana hawa. Kwa Hali hii itapita hata miaka 1,000 hawawezi kushinda. Mungu Bado analipenda taifa letu, hawezi kuacha mihayawani hii eti ndo iongoze hili taifa.Diamond ni Tume ya Uchaguzi ?!!!!
Huko ni kujitambua au ulimbukeni ? Dogo yupo kwenye Biashara zake kitu kinachomletea Mkate mezani unasema kuchanganya madesa ndio kujitambua ?
Wanasiasa wa Bongo wangefanya robo tatu ya hawa madogo wasanii (mfano Diamond) wala watu wasisubiri kukumbushwa sababu Imani kwa hawa Makasongo ingekuwa ni kubwa kuliko ilivyo sasa....
Haisaidii.Jamaa ka-post video ya show zake watu wanatiririka na comments za NO REFORMS, NO ELECTIONS.
Viongozi wa dini kama kina Malasusa na wengineo wajiandae.
Tutaelewana tu.
kwa maana ya kufa kisanii baada ya wananchi kuwadharau kuliko kinyesiMkuu, mnampango wa kuwaua mkishakamata dola ?🐼
Sasa mbona mahayawani ndio yanayoongoza!!Wapumbavu sana hawa. Kwa Hali hii itapita hata miaka 1,000 hawawezi kushinda. Mungu Bado analipenda taifa letu, hawezi kuacha mihayawani hii eti ndo iongoze hili taifa.
Ni mashoga matupu. Yanakesha na mapombe mchana wanafanya udalali.Wasanii wengi ni machawa watu wa kujipendekeza wameharibu sana Vijaya wetu kwa kuwaigilishia