Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 26,000
- 25,342
Wasanii wengi ni machawa watu wa kujipendekeza wameharibu sana Vijaya wetu kwa kuwaigilishia
Wasanii wengi ni machawa watu wa kujipendekeza wameharibu sana Vijaya wetu kwa kuwaigilishia
Hasa huyo "Mla Asusa" inabidi atafutiwe namna ya kumstua akili ya kipekee zaidi, maana inaonekana ni mkorofi zaidi.Jamaa ka-post video ya show zake watu wanatiririka na comments za NO REFORMS, NO ELECTIONS.
Viongozi wa dini kama kina Malasusa na wengineo wajiandae.
Tutaelewana tu.
maandamano yaendelee, kwa njia yeyote iwezekanayoNa huu ndo uwe mwendo yaaani kuandamana tushindwe na hata kupost No Reforms No Election tushindwe?
Mugambo wanaruka na kukanyagana
Huwa nawashanga watu wanaowafatilia hao wasaniiWasanii wa Tanzania watakufa baada ya ccm kung'olewa, wala usihangaike nao, wana muda mfupi sana
Nimeona Sehemu mmiliki wa Msigwa Bus ameanza kutoa milio kwamba ni upuuzi anataka kuwapangia watu bando lao,vijana kazeni hapo hapo.Jamaa ka-post video ya show zake watu wanatiririka na comments za NO REFORMS, NO ELECTIONS.
Viongozi wa dini kama kina Malasusa na wengineo wajiandae.
Tutaelewana tu.
Huko siyo kujitambua ni ujinga tuJamaa ka-post video ya show zake watu wanatiririka na comments za NO REFORMS, NO ELECTIONS.
Viongozi wa dini kama kina Malasusa na wengineo wajiandae.
Tutaelewana tu.
Kuna wakati unaweza ukakosea ukajikuta unasema, "si Bure, hawa chadema chakavu wa mitandaoni watakuwa wanafirimbwa'. Yaani mtu asipige mishe zake kisa uhitaji wenu nyie wa madaraka?!!! Malafa kweli nyie! Huyo diamond hamumuwezi kwani hamjaanza Leo kutaka kumharibia......na hamtokaa mumuweze.
Lakini pia, huo ujinga unaosha kesho tu mwezi oktoba baa ya Mama la Mamama, Dr Samia Suluhu Hassan, ukipenda muite The Mother of Modern Tanzania kushinda uchaguzi mkuu wa 2025 kwa 98%. Mtatulia, mtarudi kijijini kulima.

Nyingine tafadhali!!