Watanzania wameanza kujitambua, post ya Diamond huko Instagram yajobiwa na maneno: NO REFORMS, NO ELECTION

Jamaa ka-post video ya show zake watu wanatiririka na comments za NO REFORMS, NO ELECTIONS.

Viongozi wa dini kama kina Malasusa na wengineo wajiandae.

Tutaelewana tu.
Hasa huyo "Mla Asusa" inabidi atafutiwe namna ya kumstua akili ya kipekee zaidi, maana inaonekana ni mkorofi zaidi.
 
Huko IG watu wametoka X wamekuja kukichafua kama ilivo ada, watu si wajinga bwana ni mwendo wa NO REFORMS NO ELECTION
 
Watz kwa sasa hawana muda na mazuzu na walioshiba bali wanataka mabadiliko
 
Jamaa ka-post video ya show zake watu wanatiririka na comments za NO REFORMS, NO ELECTIONS.

Viongozi wa dini kama kina Malasusa na wengineo wajiandae.

Tutaelewana tu.
Nimeona Sehemu mmiliki wa Msigwa Bus ameanza kutoa milio kwamba ni upuuzi anataka kuwapangia watu bando lao,vijana kazeni hapo hapo.
 
Jamaa ka-post video ya show zake watu wanatiririka na comments za NO REFORMS, NO ELECTIONS.

Viongozi wa dini kama kina Malasusa na wengineo wajiandae.

Tutaelewana tu.
Huko siyo kujitambua ni ujinga tu
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…