Watanzania wamejenga nyumba mpya kwa kasi, utawala wa rais Samia

Irene17

Member
Joined
Feb 8, 2025
Posts
42
Reaction score
116
Tanzania inaendelea kushuhudia mapinduzi makubwa katika sekta ya ujenzi chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, hali inayopelekea nyumba na miundombinu mipya kuota kila kona kama uyoga.

Takwimu zinaonesha kuwa kabla ya Rais Samia kuingia madarakani, vifaa vya ujenzi vilivyoagizwa kutoka nje ya nchi (kama mabati, saruji, mabomba na vifaa vingine) vilikuwa na thamani ya Dola za Marekani milioni 925.5 (sawa na takribani TZS bilioni 64).

Lakini kufikia mwaka 2024, thamani hiyo imepaa na kufikia Dola za Marekani bilioni 1.67 (sawa na TZS trilioni 4.4) — ongezeko la asilimia 12.4.

Hili ni ishara ya kuimarika kwa mazingira ya uwekezaji, kuongezeka kwa ujenzi wa nyumba za kisasa, na uhitaji mkubwa wa makazi bora kwa Watanzania. Serikali ya Awamu ya Sita inaendelea kuweka msukumo katika maendeleo ya miundombinu, jambo linalochochea ukuaji wa uchumi na kuboresha maisha ya wananchi.
 
Yaan kwenye utawala huu aliyenacho anaongezewa na asiyenacho ananyang'anywa hata kile kidogo alichonacho
 
Tanzania inaendelea kushuhudia mapinduzi makubwa katika sekta ya ujenzi chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, hali inayopelekea nyumba na miundombinu mipya kuota kila kona kama uyoga.

Takwimu zinaonesha kuwa kabla ya Rais Samia kuingia madarakani, vifaa vya ujenzi vilivyoagizwa kutoka nje ya nchi (kama mabati, saruji, mabomba na vifaa vingine) vilikuwa na thamani ya Dola za Marekani milioni 925.5 (sawa na takribani TZS bilioni 64).

Lakini kufikia mwaka 2024, thamani hiyo imepaa na kufikia Dola za Marekani bilioni 1.67 (sawa na TZS trilioni 4.4) — ongezeko la asilimia 12.4.

Hili ni ishara ya kuimarika kwa mazingira ya uwekezaji, kuongezeka kwa ujenzi wa nyumba za kisasa, na uhitaji mkubwa wa makazi bora kwa Watanzania. Serikali ya Awamu ya Sita inaendelea kuweka msukumo katika maendeleo ya miundombinu, jambo linalochochea ukuaji wa uchumi na kuboresha maisha ya wananchi.
Mama ana baraka
 
Huku miradi ya serikali ikichechemea
 
Wengi akili zililala kipindi Cha. Mzee Mwinyi,Mkapa na Kikwete walikuwa hawajali kujenga wakitumbua maisha sababu pesa ilikuwepo ya hovyo hovyo kibao maofisini

Aliposhika Magufuli akabana kila kona maofisini pesa za hovyo hovyo hazikuwepo
Ikawasaidia kujua thamani ya pesa kuiheshimu na kuwa na mipango nayo

Alipoingiq Samia wamejua thamani ya pesa na kuwa na mipango na pesa wanayopata.
Wanajenga chapchap kuogopa ikija tokea Raisi akaja Mwingine type.ya Magufuli wawe tayari wana kwao nyumba za kuishi au za biashara

Magufuli kawasaidia kujua Thamani ya pesa wafanyakazi serikalini na wapata tenda za serikali kuwa hizo pesa wasidhani ziko siku zote
 
Tanzania inaendelea kushuhudia mapinduzi makubwa katika sekta ya ujenzi chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, hali inayopelekea nyumba na miundombinu mipya kuota kila kona kama uyoga.

Takwimu zinaonesha kuwa kabla ya Rais Samia kuingia madarakani, vifaa vya ujenzi vilivyoagizwa kutoka nje ya nchi (kama mabati, saruji, mabomba na vifaa vingine) vilikuwa na thamani ya Dola za Marekani milioni 925.5 (sawa na takribani TZS bilioni 64).

Lakini kufikia mwaka 2024, thamani hiyo imepaa na kufikia Dola za Marekani bilioni 1.67 (sawa na TZS trilioni 4.4) — ongezeko la asilimia 12.4.

Hili ni ishara ya kuimarika kwa mazingira ya uwekezaji, kuongezeka kwa ujenzi wa nyumba za kisasa, na uhitaji mkubwa wa makazi bora kwa Watanzania. Serikali ya Awamu ya Sita inaendelea kuweka msukumo katika maendeleo ya miundombinu, jambo linalochochea ukuaji wa uchumi na kuboresha maisha ya wananchi.
Yako iko wapi?
 
View: https://youtu.be/6-4XXQSHbSY?feature=shared
 
Back
Top Bottom