Mama ana barakaTanzania inaendelea kushuhudia mapinduzi makubwa katika sekta ya ujenzi chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, hali inayopelekea nyumba na miundombinu mipya kuota kila kona kama uyoga.
Takwimu zinaonesha kuwa kabla ya Rais Samia kuingia madarakani, vifaa vya ujenzi vilivyoagizwa kutoka nje ya nchi (kama mabati, saruji, mabomba na vifaa vingine) vilikuwa na thamani ya Dola za Marekani milioni 925.5 (sawa na takribani TZS bilioni 64).
Lakini kufikia mwaka 2024, thamani hiyo imepaa na kufikia Dola za Marekani bilioni 1.67 (sawa na TZS trilioni 4.4) — ongezeko la asilimia 12.4.
Hili ni ishara ya kuimarika kwa mazingira ya uwekezaji, kuongezeka kwa ujenzi wa nyumba za kisasa, na uhitaji mkubwa wa makazi bora kwa Watanzania. Serikali ya Awamu ya Sita inaendelea kuweka msukumo katika maendeleo ya miundombinu, jambo linalochochea ukuaji wa uchumi na kuboresha maisha ya wananchi.
Erection ya mume wako? OKTOBA TUNATIKINo reform No Erection
Huku miradi ya serikali ikichechemeaTanzania inaendelea kushuhudia mapinduzi makubwa katika sekta ya ujenzi chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, hali inayopelekea nyumba na miundombinu mipya kuota kila kona kama uyoga.
Takwimu zinaonesha kuwa kabla ya Rais Samia kuingia madarakani, vifaa vya ujenzi vilivyoagizwa kutoka nje ya nchi (kama mabati, saruji, mabomba na vifaa vingine) vilikuwa na thamani ya Dola za Marekani milioni 925.5 (sawa na takribani TZS bilioni 64).
Lakini kufikia mwaka 2024, thamani hiyo imepaa na kufikia Dola za Marekani bilioni 1.67 (sawa na TZS trilioni 4.4) — ongezeko la asilimia 12.4.
Hili ni ishara ya kuimarika kwa mazingira ya uwekezaji, kuongezeka kwa ujenzi wa nyumba za kisasa, na uhitaji mkubwa wa makazi bora kwa Watanzania. Serikali ya Awamu ya Sita inaendelea kuweka msukumo katika maendeleo ya miundombinu, jambo linalochochea ukuaji wa uchumi na kuboresha maisha ya wananchi.
Yako iko wapi?Tanzania inaendelea kushuhudia mapinduzi makubwa katika sekta ya ujenzi chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, hali inayopelekea nyumba na miundombinu mipya kuota kila kona kama uyoga.
Takwimu zinaonesha kuwa kabla ya Rais Samia kuingia madarakani, vifaa vya ujenzi vilivyoagizwa kutoka nje ya nchi (kama mabati, saruji, mabomba na vifaa vingine) vilikuwa na thamani ya Dola za Marekani milioni 925.5 (sawa na takribani TZS bilioni 64).
Lakini kufikia mwaka 2024, thamani hiyo imepaa na kufikia Dola za Marekani bilioni 1.67 (sawa na TZS trilioni 4.4) — ongezeko la asilimia 12.4.
Hili ni ishara ya kuimarika kwa mazingira ya uwekezaji, kuongezeka kwa ujenzi wa nyumba za kisasa, na uhitaji mkubwa wa makazi bora kwa Watanzania. Serikali ya Awamu ya Sita inaendelea kuweka msukumo katika maendeleo ya miundombinu, jambo linalochochea ukuaji wa uchumi na kuboresha maisha ya wananchi.
Tanzania inaendelea kushuhudia mapinduzi makubwa katika sekta ya ujenzi chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, hali inayopelekea nyumba na miundombinu mipya kuota kila kona kama uyoga.