Kama tayari wameshapangiwa Rais, mbunge na diwani, kwanini watu wapoteze muda wao bila sababu?Unaweza kusema zimedolola. Au watu hawana mpango na siasa za uchwara?
Ukiacha zile za Mgombea urais na makamu wake sababu ya watu kusombwa na malori ta mizigo. Kampeni za ubunge na udiwani zimedolola na watu hawazifuatilii kabisa.
Hata zile nazo kama ni ziara za kunadi ahadi.
Haaaa awa wakiingia bungeni tutaona mziki wake .....siasa ndo huamua hata tunavyofanya shughuli zetu tuna miaka Mitano ya balaaTumejifunza wanasiasa ni watu wako kazini, heri tufocus na maisha yetu kuliko kuwa mashabik wa wanasiasa ambao wakifanikiwa ni kwa faida yao na watoto wao... mimi mtoto wangu atasoma kayumba na atabaki akilalamika hajapata kaz...utanitoaje nikakushabikie maisha yako binafsi mzee
Hawataitimiza mitano.Haaaa awa wakiingia bungeni tutaona mziki wake .....siasa ndo huamua hata tunavyofanya shughuli zetu tuna miaka Mitano ya balaa
Siku hiyo kura yangu nailinda nyumbani kwangu.Kama tayari wameshapangiwa Rais, mbunge na diwani, kwanini watu wapoteze muda wao bila sababu?