Watanzania wameshindwa kununua hisa za Vodacom, imefunguliwa kwa Wakenya

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Wabongo walishindwa kununua, wakaongezewa muda bado wakaendelea kununa, sasa imefunguliwa, haya Wakenya tutiririke Bongo tukafanye operation fagia fagia hisa kama tulivyofanya za Safaricom.

------------------------------------------------------------------------------

Tanzania has now opened the initial public offering (IPO) market to all East Africans, lifting a ban that had locked out foreigners from buying shares in ongoing listing of telecoms at the Dar es Salaam Stock Exchange (DSE).

The removal of the restrictions offers hope to the country’s largest telco Vodacom, which recently offered 25 per cent of its shares in an IPO, but failed to raise the Tsh560 billion ($248.5 million) exclusively allocated to Tanzanians.

“The restrictions on participation of non-Tanzanian investors in the IPOs of the telecommunication companies have been removed following the amendments of the Electronic and Postal Communication Act (EPOCA) 2010 by the Finance Bill 2017,” the Capital Markets and Securities Authority (CMSA) said in a statement Wednesday.

CMSA said plans are being finalised “to enable public participation in the IPOs”.

In June 2016, Tanzania enacted the EPOCA law that required telcos to sell a quarter of their shares on the DSE to boost domestic ownership. The country, however, barred foreign investors, including East Africans, from participating.

READ: East African investors barred from Dar telcos IPO

Vodacom, a unit of South Africa’s Vodafone Group, was forced to extend its offering for three weeks after Tanzanians failed to absorb its shares. The IPO had been offered on March 9 to close on April 19, before the date was postponed. It has yet to announce the results.

READ: Why Vodacom Tanzania is extending IPO deadline

Its listing on the DSE was also pushed from May to June.

“With regard to the Vodacom Plc IPO, the issuer is expected to announce before end of this week the modality of finalising the offering and provide information on the listing date,” the CMSA head of public relations, Charles Shirima said Wednesday.

Tanzania opens telecom IPOs to East Africans
 
hakuna atakaenunua.

halafu wata open up kwa Sub Saharan Africa

ikishindikana tutafungua kwa China and Indian Sub Continent

halafu kwa dunia nzima... ndio watakapojua IPO limedoda dunia nzima

Makampuni ya Kibongo yanaji over value mno kwa sababu yamezoea kutukamua, hakuna competition

Airtel, Voda, Tigo, Halotel kwa pamoja zina collude kuwaibia wateja, lakini TCRA imelala usingizi
 
You might be correct or ignorance of business environment in Tanzania that's why you might shout out as you have done.

Btw, shares in company its not a stable source of fund for intelligent people.
 
Kwani huko Tz hamna competition law, inazozifanya hizo makampuni kuungana hivo kuwapunja?
 
Why would u say that?
 
Kwani huko Tz hamna competition law, inazozifanya hizo makampuni kuungana hivo kuwapunja?

Sheria ipo lakini language yake very flimsy.

Inakataza makampuni yasikubaliane ku fix the rates, lakini ikitokea price zinafanana across the board hiyo sio evidence of collusion kwa sababu hawajakaa wakakubaliana au hawajawakamata walikaa wakakubaliana. Kwa hiyo bei na vifurushi vinafanana lakini hawajakubaliana! Sijui unanielewa?

Kwa mfano, kwenye internet service. Kuna vi bundle vya 1GB, 2GB kwa shilingi elfu mbili, elfu tatu mpaka elfu tano kwa wiki. Halafu kifurushi kinachofuata baada ya 2GB ni 10GB! Kinauzwa 12,000 mpaka 15,000. Kwa hiyo 2,000/= next up ina shoot mpaka 12,000/= Hakuna cha 5GB, 6GB... MAKAMPUNI YOTE!

Kwa hiyo kifurushi cha 2GB kwa wiki kama hakikutoshi lazima ununue 10GB kwa wiki, 12,000/=, huna jinsi, wanakunyoa kwa chupa.

Halafu hicho kifurushi cha 10GB chenyewe hawakuachi ukimalize at your pace, ukijipindua kidogo wanakilima! MAKAMPUNI YOTE! Inabidi siku moja kabla hakijaisha uanze kulazimisha kuangalia ma YouTube video ya kina HarmoRapa gets ambitious kasema he is going for Wema, Wema kasema mwambieni anikome, he is such an ugly thing! Such situation.

TCRA wamekaa tu wanayaangalia makampuni, they don't give a crap!
 
Tigo is expected to perform better than Vodacom, And we expect to put our cash there Vodacom is slowly loosing out
 
Ni hatari sana kununua hisa za kampuni isiyolipa kodi. Kama wana ujanja wa kuiibia serikali, hawatashindwa kumuibia mwanahisa.
 
Sheria ipo lakini language yake very flimsy.

Inakataza makampuni yasikubaliane ku fix the rates, lakini ikitokea price zinafanana across the board hiyo sio evidence of collusion kwa sababu hawajakaa wakakubaliana au hawajawakamata walikaa wakakubaliana. Kwa hiyo bei na vifurushi vinafanana lakini hawajakubaliana! Sijui unanielewa?

Kwa mfano, kwenye internet service. Kuna vi bundle vya 1GB, 2GB kwa shilingi elfu mbili, elfu tatu mpaka elfu tano kwa wiki. Halafu kifurushi kinachofuata baada ya 2GB ni 10GB! Kinauzwa 12,000 mpaka 15,000. Kwa hiyo 2,000/= next up ina shoot mpaka 12,000/= Hakuna cha 5GB, 6GB... MAKAMPUNI YOTE!

Kwa hiyo kifurushi cha 2GB kwa wiki kama hakikutoshi lazima ununue 10GB kwa wiki, 12,000/=, huna jinsi, wanakunyoa kwa chupa.

Halafu hicho kifurushi cha 10GB chenyewe hawakuachi ukimalize at your pace, ukijipindua kidogo wanakilima! MAKAMPUNI YOTE! Inabidi siku moja kabla hakijaisha uanze kulazimisha kuangalia ma YouTube video ya kina HarmoRapa gets ambitious kasema he is going for Wema, Wema kasema mwambieni anikome, he is such an ugly thing! Such situation.

TCRA wamekaa tu wanayaangalia makampuni, they don't give a crap!

Wewe kiboko umenikumbusha hayo mambo ya vifurushi. Nikinunua 2gb ya masaa 24hr halafu muda unaelekea kuisha na bado nikiangalia salio nimebakiwa na 300mb, ilikua ikiniuma.
Hata hicho cha 10gb nilikua najibana bana nisisikimalize kabla ya muda halafu najikuta nimebakiwa na nyingi ilhali muda unaisha.

Bora Safaricom huwa wanaunganisha ukinunua kingine wanajumuisha kwa ile salio.
 
Sheria ipo lakini language yake very flimsy.

Inakataza makampuni yasikubaliane ku fix the rates, lakini ikitokea price zinafanana across the board hiyo sio evidence of collusion kwa sababu hawajakaa wakakubaliana au hawajawakamata walikaa wakakubaliana. Kwa hiyo bei na vifurushi vinafanana lakini hawajakubaliana! Sijui unanielewa?

Kwa mfano, kwenye internet service. Kuna vi bundle vya 1GB, 2GB kwa shilingi elfu mbili, elfu tatu mpaka elfu tano kwa wiki. Halafu kifurushi kinachofuata baada ya 2GB ni 10GB! Kinauzwa 12,000 mpaka 15,000. Kwa hiyo 2,000/= next up ina shoot mpaka 12,000/= Hakuna cha 5GB, 6GB... MAKAMPUNI YOTE!

Kwa hiyo kifurushi cha 2GB kwa wiki kama hakikutoshi lazima ununue 10GB kwa wiki, 12,000/=, huna jinsi, wanakunyoa kwa chupa.

Halafu hicho kifurushi cha 10GB chenyewe hawakuachi ukimalize at your pace, ukijipindua kidogo wanakilima! MAKAMPUNI YOTE! Inabidi siku moja kabla hakijaisha uanze kulazimisha kuangalia ma YouTube video ya kina HarmoRapa gets ambitious kasema he is going for Wema, Wema kasema mwambieni anikome, he is such an ugly thing! Such situation.

TCRA wamekaa tu wanayaangalia makampuni, they don't give a crap!
jambo moja yapaswa kutambua kuwa tanzania ni moja ya sehem duniani yenye unafuu sana kwenye malipo ya internet
 
I knew it, that whoever is not intelligent will ask such a question.
Okay, I thot this would open the debate into us discussing the pros and cons of investing into a company. But with this kind of attitude, it would be useless convincing u that this is an absolutely good and viable investment idea, despite the risks inherent.

In fact every investment idea u have in mind, which u think are for the 'intelligent' pipo are all wrought in some risks. Everything in life, including life itself is a risk.
 
Wabongo walishindwa kununua, wakaongezewa muda bado wakaendelea kununa, sasa imefunguliwa, haya Wakenya tutiririke Bongo tukafanye operation fagia fagia hisa kama tulivyofanya za Safaricom.

Ni kweli tumeshindwa, na tatizo kubwa linaweza kuwa uelewa mdogo wa mambo ya hisa (hata Vodacom wenyewe hawakuweza kutoa elimu kuhusu hisa), nakumbuka nilikuwa nawaeleza jamaa zangu wanunue hisa za Vodacom lakini ilionekana kama naongea Kichina. Hisa inaonekana ni kama mchezo wa kamari (kupata au kukosa)...
 
Sheria ipo lakini language yake very flimsy.

Inakataza makampuni yasikubaliane ku fix the rates, lakini ikitokea price zinafanana across the board hiyo sio evidence of collusion kwa sababu hawajakaa wakakubaliana au hawajawakamata walikaa wakakubaliana. Kwa hiyo bei na vifurushi vinafanana lakini hawajakubaliana! Sijui unanielewa?

Kwa mfano, kwenye internet service. Kuna vi bundle vya 1GB, 2GB kwa shilingi elfu mbili, elfu tatu mpaka elfu tano kwa wiki. Halafu kifurushi kinachofuata baada ya 2GB ni 10GB! Kinauzwa 12,000 mpaka 15,000. Kwa hiyo 2,000/= next up ina shoot mpaka 12,000/= Hakuna cha 5GB, 6GB... MAKAMPUNI YOTE!

Kwa hiyo kifurushi cha 2GB kwa wiki kama hakikutoshi lazima ununue 10GB kwa wiki, 12,000/=, huna jinsi, wanakunyoa kwa chupa.

Halafu hicho kifurushi cha 10GB chenyewe hawakuachi ukimalize at your pace, ukijipindua kidogo wanakilima! MAKAMPUNI YOTE! Inabidi siku moja kabla hakijaisha uanze kulazimisha kuangalia ma YouTube video ya kina HarmoRapa gets ambitious kasema he is going for Wema, Wema kasema mwambieni anikome, he is such an ugly thing! Such situation.

TCRA wamekaa tu wanayaangalia makampuni, they don't give a crap!

Hiyo ya data bundles kuexpire within a given time- frame is just part of the term of the service. When u were purchasing the data package, u in effect agreed to exhaust it within the stipulated expiry period, I do not see why and how the companies are at fault here, nor that it is an indication of 'cartelism' btwn the companies involved.

And how about this...if u wanted a 6gb worth of data bundles instead of the available options of 2gb and 10gb, why not just buy 3 2gb packages (not necessarily at the same time) instead of wasting your money, buying 10gb which u know is more than u need?
 
Ni kweli tumeshindwa, na tatizo kubwa linaweza kuwa uelewa mdogo wa mambo ya hisa (hata Vodacom wenyewe hawakuweza kutoa elimu kuhusu hisa), nakumbuka nilikuwa nawaeleza jamaa zangu wanunue hisa za Vodacom lakini ilionekana kama naongea Kichina. Hisa inaonekana ni kama mchezo wa kamari (kupata au kukosa)...

Tatizo kampuni ikianguka hela zote kwaheri, gawio ni baada ya mwaka na faida harisi huwa haiko wazi tena wanatangaza hasara kila mwaka Kwa hiyo unakuwa umewapa hela zote sadaka.

Ndiyo maana, watu walikuona kama unaongea kikorea na kichina.

Mf. Kampuni zenyewe zimeamriwa Kwa nguvu kuuza Hisa na hapo hawakutoa ufafanuzi wowote juu ya Hisa.

Kampuni hazilipi kodi ya serikali nawe hela zako watasepa nazo tu.

Kwa kifupi, wengi walionunua watalia sana mwakani wakati wa divided.
 
Watanzania siyo wapumbavu wala wajinga labda serikali hizo HISA za hayo makampuni ni wizi mtupu wawekezaji wa kigeni wanao wekeza tz ni wezi mfano migodi NK njia wanazotumia kuujumu tz baadhi ni hizi
1mikataba ya kifisadi
2 wanakwepa kodi
3wanatangaza kupata hasara ili kudhulumu serikali na wana HISA .
Sasa kama ndo hivyo ni mpumbavu tu atakaye sema watz awakununua HISA za vodacom kwa kukosa elimu mana hata walio nunua wamenunua kwa shingo upande yaani MTU alikuwa na uwezo wa kununua HISA 1000 ila kanunua HISA 200 tu kwa kuhofia dhuruma
 
Nimepitia website ya DSE na ninestushwa eti vodacom TZ hawako kwenye listed companies. Tindikali labda utudokezee. Why has it not been listed. Haya acha ni download prospectus yao na niangalie performance yao last 5 FY, kisha nirudi hapa kujadili kiutalam na sio kishabiki.
 
Tatizo kampuni ikianguka hela zote kwaheri, gawio ni baada ya mwaka na faida harisi huwa haiko wazi tena wanatangaza hasara kila mwaka Kwa hiyo unakuwa umewapa hela zote sadaka.

Ndiyo maana, watu walikuona kama unaongea kikorea na kichina.
Mf. Kampuni zenyewe zimeamriwa Kwa nguvu kuuza Hisa na hapo hawakutoa ufafanuzi wowote juu ya Hisa.
Kampuni hazilipi kodi ya serikali nawe hela zako watasepa nazo tu.
Kwa kifupi, wengi walionunua watalia sana mwakani wakati wa divided.
Nakubaliana na wewe kabisa, ukiongezea hata elimu ya mambo ya hisa wengi wetu hatuna, basi inakuwa taabu kwelikweli...
 
Hapo ni Vodacom. Zikiingia telecoms zote si itakuwa shida?
 
He he..Siwezi thubutu kununua chochote huko bongo. Hujui magu atakurupuka lini aseme wewe Ni mwizi.
 
Back
Top Bottom