Watanzania wamshukia gavana wa Kenya baada ya kumkashifu Magufuli

Hivi hata kama ni mbowe kawa Rais, angeambiwa maneno hayo na mpumbavu flani kama huyo gavana kutoka nchi nyingine mngefurahia tu? Tokea lini Rais akafundishwa namna ya kuongoza nchi yake?
Ameshatubu?
 
we vipi kwani rais ni mungu asielekezwe jinsi ya kuongoza nchi
Wakenya hamwez kutupangia jinsi ya kuendesha nchi mtuachee ila mkileta tena mang'ombe yenu safar hii tunagawa magereza wafungwe wale nyama .. Jifunzen kufuata taratibu c mnaleta mang'ombe yenu kiholela afu tukiwaachia mnatuita shamba la bibi bt zama za magu hizi hahahah mtaimba haleluyaa
 
Watanzania wapi hao ?mbona munapenda kutusemea uongo ambao sisi hutujafanya ukomee kusema Watanzania Sema familia yako
 
Gavana wa kule kwetu Kajiado huyo. Na bado, itawauma sana.
 
******** ni bulldozer huko LDC na sio hapa Middle Income.
 
Hao sijui coz hata Muhi2 hamna kitengo chao, ila kitengo cha kichwa maji kama huyo gavana kipo.
Aliyebwagwa chini kwenye kura na His excellency, Governor Joseph Ole Lenku, former governor David Nkedianye alikuwa lofa flani hivi kazi kula hela za wananchi tu. Alichaguliwa kupitia ODM, chama cha swahiba yake JPM yaani Raila. Huyo ni dikteta mwingine, huwa anawatishia sana viongozi kutoka chama chake. Sasa hivi ni Jubilee usukani za usoni tutawapa tu, hadi mshike adabu zenu.
 
Mimi nadhani yuko sahiji.Chanxo cha kuwa na EAC ni uhusiano mzuri wa enzi na enzi.Nchi jirani hubebeana upungufu wa kila mmoja lakini unapoona cha jirani yako ni kibaya kwa vile we we una neema ukasahau kuwa Leo kwa mwenzio kesho kwako ni hatari.Gavana yupo vizuri amemuasa Raid asivuruge uhusiano wa jadi.
 
Si ajabu kama unavyosema bali ni mshangao. Ni mfumo uliokuepo uliruhusu watu kufika huko!! Na ni mfumo huo ndio unawatia hasara wananchi wake!! Ni sawa mfumo ulioruhusu watu kuazimisha vyeti kuingia kwenye kazi ikiwemo majeshi yetu na ni mfumo huo huo umewazika hata pensheni zao!! .

Ninachosema kosa lilikuwa la nani?! Na kwa nini wawajibishwe wananchi masikini kwa kigezo cha uchapakazi!! Je mfano (serikali) imewajibika vipi kwenye kadhia hizo badala ya mzigo kumpata mwananchi pekee. Ndipo hapo ninaposema mfugaji mTz angepigwa faini na kufukuzwa ktk maeneo hayo yanayodhaniwa kuwa ni hifadhi. Badala ya kumrudisha mwananchi katika ufukara kwa kumdhulumu!! Tujiangalie kuwa matatizo yalianzaje?!
 
Wamuache Magufuli wetu wasimuongezee frustrations, ikiwezekana hao Maasai wakikatiza na wao wapigwe mnada ama wachomwe moto isiishie tu kwa ng'ombe na vifaranga.
Ama kweli jf ni shida[emoji23]
 
Watz hatuna shida na nyie tatzo lenu nyie mnavunja sheria makusudi ambazo hata cc wazawa tukivunja adhabu ni hiyo hiyo..ndugu zenu miaka yote wanalisha ng'ombe upande wa tz na hakuna shida wala taabu maana tunajua jiran malisho machache..kosa walofanya ni kuingiza mifugo eneo la hifadhi ambayo mifugo hata ya kwetu wazawa hairuhusiwi saa mlitaka tufanyajee
 
Kwani hapo kipi alichoongea ambacho ni cha kuudhi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…