Watanzania wamshukia gavana wa Kenya baada ya kumkashifu Magufuli

Naijua hiyo uiitayo kadhia kwa wafugaji, kwa taarifa tu. Elimu juu ya ufugaji na si uchungaji imetolewa ukanda wote huu. Mwanzoni, faini ilikuwa ndio njia ya kulirekebisha hili tatizo, wachungaji wakawa ni wakaidi kupindukia kwa kiburi cha fedha. Kwamba watalipa tu faini yataisha.

Labda nikuulize tu jambo moja, unaona kuweka hifadhi mbalimbali ktk nchi ni jambo lisilo na maana yoyote? Jibu lako lita justify uwepo wa hizi sheria ama kujustify yale yatendwayo na wachungaji wetu. Elimu juu ya ikolojia ikuongoze ktk kupata jibu sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…