Watanzania wamvaa Beyonce, wataka haki itendeke

Watanzania wamvaa Beyonce, wataka haki itendeke

Sasa mbona mnataka kulazimishana vitu kama yeye hajaona kwan kuna kupangiana cha kufanya,mind your business
 
Hahahahah nyege nyegeziii
Michezo ya ambaruti tetema hahahah
Tuna wasanii au wapige kelele
Hapo ni Sawa aje director Steven Spielberg atake kufanya movie... Wabongo watake kwenye movie hyo awepo Uwoya na wema ant Ezekiel na Steve nyerere [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Sasa Mr. Mrangi unataka kusema hao wapopo waliopo wamewazidi nini wasanii wetu.

Tupende vyetu mazee... industry yetu ya muziki ni kubwa tu tusibebeze tunawasanii wazuri tu. Tupendeni vyetu watanzania.

Usifikiri mgeni atakipenda chako kama umeshindwa kipenda wewe.
 
Me ndio maana nimeigomea sitaki hata kuiona.
 
why na sisi hatutengenezi ya kwetu kama chanzo cha hii ni Tanzania ?why umpangie mtu jinsi ya kutumia fedha zake?always tumekuwa watu wa kulalamikia tulipoangukia sio kujikwaa,unanikumbusha yaliyokuwa yanatokea pale SA kulalamika eti why actors wanaocheza movie za maisha ya Mandela na Nomzamo sio wazawa!!!,walijibiwa kama wanataka watengeneze movie zao,wakafwata mkia.
Kweli aisee kuna watu wavivu sana aisee.
Kuna muvi imeyoka mwaka huu sijui mwaka jana ianitwa HOTEL MUMBAI.Hii muvi imebase kwenye trie event ambayo ilitokeaga India mwaka 2008 kuna waPakistan wakivamia hii hotel na kuua watu wengi tu.
Yaani kuanzia 2008 mpaka 2018 wahindi wamelala tu.Wazungu wakaona sasa huu wehu wakaamua kuitolea muvi na wamepiga hela ndefu tu.
Itafute
 
mimi nachagua mtu ninayemtaka, hata kama nafanya project yangu USA na nikaamua kumchukua mtu wa Saudi Arabia hakuna wakunipangia natumia pesa yangu.
 
Kweli aisee kuna watu wavivu sana aisee.
Kuna muvi imeyoka mwaka huu sijui mwaka jana ianitwa HOTEL MUMBAI.Hii muvi imebase kwenye trie event ambayo ilitokeaga India mwaka 2008 kuna waPakistan wakivamia hii hotel na kuua watu wengi tu.
Yaani kuanzia 2008 mpaka 2018 wahindi wamelala tu.Wazungu wakaona sasa huu wehu wakaamua kuitolea muvi na wamepiga hela ndefu tu.
Itafute
Ninakumbuka ishu ya tukio hilo la kusikitisha ambalo lilishitua dunia nzima,innocent peoples wanauawa ,kosa lao to be in a wrong place at a wrong time(mmoja wao alikamatwa na kuhukumiwa,kama sikosei)umenena sana mkuu hatuwezi kuwapangia wenye fedha zao jinsi ya kuzitumia,tutafute za kwetu ili nasi tujipangie,after all nimelipenda sana hili jina lako,nimebahatika kufika kwenye hiyo sehemu kulikotokea pambano hilo la Isandlwana,wenzetu wanapatunza ili kulinda historia yao,sisi hapa sijui ile sehemu Mtwa Mkwawa alipowashinda Wajerumani kama tunapatunza na kupatangaza ,tungepata watalii wengi mno kutoka Ujerumani,ILA tumepaasha na historia ile inapotea.tuendeleeni kusubiri.
 
Kweli aisee kuna watu wavivu sana aisee.
Kuna muvi imeyoka mwaka huu sijui mwaka jana ianitwa HOTEL MUMBAI.Hii muvi imebase kwenye trie event ambayo ilitokeaga India mwaka 2008 kuna waPakistan wakivamia hii hotel na kuua watu wengi tu.
Yaani kuanzia 2008 mpaka 2018 wahindi wamelala tu.Wazungu wakaona sasa huu wehu wakaamua kuitolea muvi na wamepiga hela ndefu tu.
Itafute
Imetoka mwaka huu
 
Tutengeneze ya kwetu alafu tumuingize domo ,kibamia na konk master😁😁😁😂🤣
 
Back
Top Bottom