Manfried
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 1,288
- 4,074
Juzi kuna msanii amechoma Gari .
Lakini huyu msanii anaonekana siku za kuishi zimeisha na anaumwa magonjwa ya kimwili na akili Saikolojia .
Niltegemea familia yake imtafute na kumpeleka katika matibabu .
Ukimwangalia katika upande wa kushoto amevimba mashavu Anaonekana Ana magonjwa makubwa yanamuandama.
Ila kwakuwa hii nchi na familia yake imejaa watu wajinga wanashindwa kumtibu na kumfanyia matibabu ya akili (Calmness).
Pia Kifo cha Garner Habashi anaonekana wazi alikuwa amekaribia kufa Ila nilishangaa Lady Jaydee na familia ya clouds walikuwa wanamuona na kumuacha hivi hivi bila kumpeleka hosptali.
Itakuwa watanzania hawana macho ya rohoni kabisa na hawana akili .
Mtu akikalibia kufa usipomuaokoa anakufa kabisa.