Naona mpo busy sana na mnapambana sana kulazimisha sana mgogoro wa kidini lakini niwahakikishie pasi na shaka watanzania wana akili sana na wala sio wajinga, dini wala sio hoja yao, ukatoliki na uislam wala sio hoja ya wananchi.
Hoja ya wananchi ni utekaji ukome, mauaji yakome, na wizi na ubadhirifu wa mali za umma pia ukomeshwe, kuwe na haki na utawala bora hayo tuu ndio mahitaji ya wananchi.
Hilo la dini wala haliwahusu watanganyika hawa, mnajisumbua na halita fanikiwa zaidi nyie wenyewe ndio mtakuwa mnajitia hatarini lakini wananchi watabaki salama na taifa lao, hasa kwenye hilo la dini.