Watanzania wana hela lakini hawataki kulipa kodi, Serikali msipunguze tozo

ngebe

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2020
Posts
1,789
Reaction score
5,117
Watanzania kazi yao huwa ni kulalamika hata kwa vitu vidogo.

Nimeshangaa nyumba ina wapangaji sita lakini wote wanalalamikia kulipa buku kwa mwezi.

Kodi hawataki kulipa ila kadi za chama zinalipiwa,

Mwigulu shikilia hapo hapo asietaka ahame

FB_IMG_16300080105007984.jpg
 
Tabia ya kupenda kulalamikia vitu vya maana sana sijui ni kwanini imekita mizizi katika jamii zetu?!!!

Yaani mtu analalamikia TOZO ya "buku" kwa mwezi (nyumba nzima) ila kutwa KUCHANGIA/KUCHANGIANA/KUCHANGIWA/KUCHANGISHA fedha za shughuli(harusi,kitchen party,shower party,ndundu party ,birthdays,sherehe za maulidi ya jando la mtoto,sherehe za wari,vijana kumaliza chuo ,watoto kuhitimu nursery,mtoto kuacha ziwa,mtoto wa kiume kuota ndevu n.k)......

TAIFA haliwezi kupiga hatua kubwa kwa "mentalities" hizi.....

Kila mmoja wetu ana wajibu wa kuijenga nchi yake huku akizitumia huduma za jamii na "kuonjoi" utulivu na amani ya taifa lake..........

#NchiKwanza
#SiempreJMT
#KaziIendelee
 
Walipiane ndege kwenda kuzurura
Tatizo la hawa fisi maji wanajiona wana akili sana! Kisa wana mivyeti ya kukariri madesa vyuoni! Yaani mtu anahangaika juani, humsaidii chochote! Halafu unataka umpangie matumizi ya fedha zake.

Wao miaka nenda wanarithishana tu vyeo! Nje ya siasa, hakuna kazi nyingine wanazoweza kufanya. Wanapeana vyeo kindugu na kikada! Hela zetu wakikusanya, nusu zinaingia mifukoni mwao! Kinacho bakia ndiyo wanafanyia maendeleo. Tutakwepa sana tu hizo kodi. No way out.
 
Unajiona una akili kukwepa kodi?
 
Watu wanalalamika kwa sababu wanatambua fika kodi zao hazitumiki kwa 100% matumizi sahihi. Nyingi zinaishia mifukoni mwa wapigaji. Kusingekuwepo na vitendo vya ufisadi, rushwa na uhujumu uchumi uliokithiri!

Hakuna ambaye angelalamika.
 
watanzania Kazi yao huwa ni kulalamika hata kwa vitu vidogo,

nimeshangaa nyumba inawapangaji sita lakini wote wanalalamikia kulipa buku kwa mwezi,

kodi hawataki kulipa ila kadi za chama zinalipiwa,

mwigulu shikilia hapohapo asietaka ahame

View attachment 1910553
watu wanalalamika wanalipa tozo zinaishia kwenye ma V8 huko na posho
 
Sasa kodi zenyewe tukilipa si ndiyo hizo hizo mnazo nunulia Ma V8 ya milioni 400 huku wanafunzi mashuleni wakikaa chini kwa kukosa madawati! Bora kukwepa/kulalamika.
nyie si mnawaendekeza CCM
 
Tatizo la hawa fisi maji wanajiona wana akili sana! Kisa wana mivyeti ya kukariri madesa vyuoni! Yaani mtu anahangaika juani, humsaidii chochote! Halafu unataka umpangie matumizi ya fedha zake.

Wao miaka nenda wanarithishana tu vyeo! Nje ya siasa, hakuna kazi nyingine wanazoweza kufanya. Wanapeana vyeo kindugu na kikada! Hela zetu wakikusanya, nusu zinaingia mifukoni mwao! Kinacho bakia ndiyo wanafanyia maendeleo. Tutakwepa sana tu hizo kodi. No way out.
Upo sahihi mkuu
 
Back
Top Bottom