Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwege ni mbubge mstaafuWatanzania kazi yao huwa ni kulalamika hata kwa vitu vidogo.
Nimeshangaa nyumba ina wapangaji sita lakini wote wanalalamikia kulipa buku kwa mwezi.
Kodi hawataki kulipa ila kadi za chama zinalipiwa,
Mwigulu shikilia hapo hapo asietaka ahame
View attachment 1910553
Sawa kabisa. Mimi mshahara umeongezeka leo nimeshangaa kimya kimya tozo oyeeee
Nadhani na wabongo mambp mengine mazuri yanakuja
Tuache kulia lia
Mkuu wazungu wanaposema IQ zetu mdogo wslishapima kwa vitendo, hawabahatishi na malalamiko ta TIZO ni moja ta lipomi cga watanzania.Tabia ya kupenda kulalamikia vitu vya maana sana sijui ni kwanini imekita mizizi katika jamii zetu?!!!
Yaani mtu analalamikia TOZO ya "buku" kwa mwezi (nyumba nzima) ila kutwa KUCHANGIA/KUCHANGIANA/KUCHANGIWA/KUCHANGISHA fedha za shughuli(harusi,kitchen party,shower party,ndundu party ,birthdays,sherehe za maulidi ya jando la mtoto,sherehe za wari,vijana kumaliza chuo ,watoto kuhitimu nursery,mtoto kuacha ziwa,mtoto wa kiume kuota ndevu n.k)......
TAIFA haliwezi kupiga hatua kubwa kwa "mentalities" hizi.....
Kila mmoja wetu ana wajibu wa kuijenga nchi yake huku akizitumia huduma za jamii na "kuonjoi" utulivu na amani ya taifa lake..........
#NchiKwanza
#SiempreJMT
#KaziIendelee
Nafikiri tatizo kubwa ni elimu.Tabia ya kupenda kulalamikia vitu vya maana sana sijui ni kwanini imekita mizizi katika jamii zetu?!!!
Yaani mtu analalamikia TOZO ya "buku" kwa mwezi (nyumba nzima) ila kutwa KUCHANGIA/KUCHANGIANA/KUCHANGIWA/KUCHANGISHA fedha za shughuli(harusi,kitchen party,shower party,ndundu party ,birthdays,sherehe za maulidi ya jando la mtoto,sherehe za wari,vijana kumaliza chuo ,watoto kuhitimu nursery,mtoto kuacha ziwa,mtoto wa kiume kuota ndevu n.k)......
TAIFA haliwezi kupiga hatua kubwa kwa "mentalities" hizi.....
Kila mmoja wetu ana wajibu wa kuijenga nchi yake huku akizitumia huduma za jamii na "kuonjoi" utulivu na amani ya taifa lake..........
#NchiKwanza
#SiempreJMT
#KaziIendelee
Bora ndege, wanaenda kutajirisha mabeberu wa ChanjoWalipiane ndege kwenda kuzurura
Kuna kizazi hapa kati ni cha ujinga mwingi sana......ndg nimekuelewa sana sana.......watu hawaelewi hata nchi inaendeshwaje......hawajui hata umuhimu was kodi...mwenye biashara anakwepa kulipa kodi kwa kusaidiwa na mnunuzi lakini Serikali ikitumia akili kumminya atoe yeye anapiga kelele.Nafikiri tatizo kubwa ni elimu.
Tozo za hawataki
Ukiwaambia wachukue risiti kwenye Kila manunuzi wanayofanya hawataki
Kodi hawataki kulipa
Lakini ndio wa kwanza kulalamika Hospital hazina madawa, Barabara mbovu, maji, umeme
Mimi nadhani mtu mjinga dawa yake ni kumpeleka kinguvu nguvu baadae ataelewa Ili mradi tu ni Kwa manufaa yake
Hatari snBora ndege, wanaenda kutajirisha mabeberu wa Chanjo
hapo ni kuelewana na mwenye nyumbaKinacholalamikiwa sio buku ila watu wanalalamikia kulipia majengo yasiyo yao. Pili watu hawana taarifa sahihi,hhawajui wanalipia kiasi gani...wanachojua wao ukinunua umeme wa elfu tatu unapewa wa elfu mbili full stop
Mkuu nakubaluana sana na concern yako ya watu kylalamikia tozo ndogo kama ya elf moja ..ukiangalia kiasi na idadi ya wanapaswa kuchangia kweli haileti maana.Lakini jambo moja umesahau ni wapi hizi mentality zimetokea..kiasi watu washindwe kuwa wazalendo kujenga nchi japo kwa boku moja kama sio sh 200 kwa mwezi? Ukweli ni kwamba waliotangulia kama viongozi hawakuwa mfano bora wa kuigwa...yaani hawakuwa wazalendo kabisaaa...pesa zetu wapiga kura wanatumia jinsi wanavyopendwa...mbaya zaidi hao hao ambao mafisadi..wanatumia pesa ya mlipa kodi huyu huyu kunyanyasia wanyonge? Ktk hali hii uzalendo tutautoa wapi? Kama mtu kapewa uwaziri wa ardhi..anajimilikisha viwanja..majumba nk.mie mlipa kodi nawekewa vikwazo kibao kumiliki kiwanja na hata ujenzi..kodi ya ardhi, kibali cha ujenzi nk. Hivi ndio vitu vinatuvunja moyo, wabunge tunaowachagua..wanabetray kwa shibe zao..uzalendo wa kuchangia 200 sina kwa kweli...kenya wenzetu walijenga flyover kwa michango ya wananchi..raisi aliwatangazia na kyonyesha mpango kazi wake..nakuto ombi kuwa kila mwananchi achangie buku hv ya kenya..na watu walichanganga na kuona matokeo..hapa tozo inaenda fanya nini? Hapa kwetu hatujashirikishwa..bali tumeshurutishwa..utayari utoke wapi?Tabia ya kupenda kulalamikia vitu vya maana sana sijui ni kwanini imekita mizizi katika jamii zetu?!!!