Watanzania wana imani kubwa sana na Paul Makonda na kamwe Lissu hawezi kushusha na kuondoa imani hiyo

Lisu siyo mtanzania? Mimi pia ni mtanzania, na sina imani naye..!!! Au ulimaanisha wana CCM?
 
Habari hii ngoja nikipata muda nitaisoma siku za huko baadaye. Leo naona sina ari kabisa ya kuisoma.
 
Mbona waarabu for years wamekua na tendency ya kijitoa muhanga (kujilipua) wakiamini ni njia ya kuiona pepo.

Tusaidie kuliweka sawa hili.
Ukiona wanajilipua basi wameonewa sana kupita kiasi . Hata wewe ukionewa sana kupitiliza utatumia njia yoyote. Hata wanasiasa wakiona nafasi zao zinataka kuchukuliwa wanalipua wenzao
 
Nani kakwambia wanajiua ili waione pepo ndugu yangu mtanzania
Sunan Ibn Majah Volume 5, Book 37, Hadith 4337—“Abu Umama narrated: "The Messenger of God said, 'Everyone that God admits into paradise will be married to 72 wives; two of them are houris and seventy of his inheritance of the female dwellers of hell. All of them will have libidinous sex organs and he will have an ever-erect penis.”
 
Kazi unayo ila kiufupi Makonda kwenye siasa za Tanzania ameshafutika ni suala la muda tu Kila mtu atamkana
 
Kama kweli alihusika basi alifanya kitendo kibaya sana sana sana.

Risasi kwa Tundu Lisu ni kitendo kilichosababisha Niuchukie utawala wa Magufuli mpaka nilipouna utawala wa Samia ambao ni mbaya kuliko tawala zote kwenye nchi za kidemokrasia Duniani maana unalenga kuwapunguzia Wazawa kwenye nchi yao hasa Watanganyika . Hapo ndipo nilipoona kuwa Utawala wa Magufuli ulikua ni nafuu mara milioni moja ya utawala wa Wauaji wa awamu hii wanaoua ili waibe yaani ni sawa na majambazi .
Magufuli alichukia wezi na majambazi wa mali za umma na aliwaoenda sana watanzania wote lakini huyu kamwe hajawahi hata kuwaza kuwapenda Machogo wa Tanganyika zaidi ya kuchuma mali kwa namna yoyote na kuwaswaga kabisa wa Tanganyika bila kujali vizazi vyao vijavyo.

Tundu Lisu hakustahili kabisa kupigwa risasi maana hakuwahi kuliibia Taifa hili wala kuingia mikataba ya kiduwanzi kuwaibia Watanganyika zaidi ya kuonya kuhusu mikataba ya kixengenyana iliyoingngiwa kiqoumandoo na wabunge wa Bangladeshi .

Majizi eti ndiyo yanazidi kujichimbia madarakani na kuzidi kuua wetu na vitusho. English course.😡😡😡
 
Juha sifa kubwa ni kutojitambua, eti mwenyewe anadai jenga hoja yaani kajenga hoja hapa, idiot.

Unaanza kumtetea uadilifu aliyefoji hata jina lake, ukitaka tutumie akili nyingi huyu muuaji wako muandike kwa jina lake halisi. DAUDI ALBERT BASHITE. Au tuonyeshe baba yake mzazi anayeitwa Christopher Makonda, ushawahi kumuona kuku wewe? Ameishawahi kuonyesha ndugu yake yeyote anayeitwa kwa jina la Makonda? Ndugu zake wote ni akina BASHITE, kunyangisi bloody good morning
 
Wewe Jamaa Ni mpumbavu Kwani Watu Kuwa na Imani na Mtu Ndio asisemwe Kama Ni jambazi.Huna Akili Wewe
 
Hivi huoni aibu waliokuunga hadi hapa nimehesabu watatu tu. Unajua vitu vinavyomfanya mtu akaonekana ana utu baadhi ni uoga na aibu vitu ambavyo huna. Unaonekana kituko, hata CCM wanakuona juha
Kwa hiyo wewe jitu zima unafanya vitu kwenye familia yako na maamuzi yako hadi uone watu wanakuunga mkono? Hiyo ni akili au matope?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…