Watanzania wana imani kubwa sana na Paul Makonda na kamwe Lissu hawezi kushusha na kuondoa imani hiyo

Aisee mimi nilijua mpumbavu ni Lucas mwanshamba pekee kumbe wako wengi jamani, angalieni juha lingine.

Makonda kamwe hawezi kuwa Raisi wa nchi huo tena .

Nimemfuta katika ulimwengu wa siasz.
Kujiunganisha na Wauaji akina Lwamposa aliyeua wafu kibao moshi halafu akakimbia bila hata kuwekwa mahabusu ni dharau kubwa sana kwa watanzania.
Yaani muuaji anahaki mtaani halafu Tandu Ali Kibao anapigwa risasi.

Mwamposa ikitokea siku moja Rais mzalendo na mpenda haki basi kesi yake ya kusababisha mauaji na ugaidi kupitia imani kali ya mafuta ya upako itafunguliwa na kuburuzwa mahakamani.

Hakuna usajili wa ilamani yoyote uliotaja suala la kutibu au kuponya wagonjwa kwenye sharia za usajili wa taasisi na vikundi vya dini.

Dini haijasajiliwa kama uganga wa Jadi wala sanaa za Jadi kama mazingaumbe. Kwa hiyo yeyote anayetumia dini na kusababisha mauaji ya mtu yeyote anapaswa kushitakiwa mahakamani kwa kusababisha mauaji kwa imani za kishirikinza. Mwamposa alitakiwa akamatwe siku aliyodanganya watu wapite kwenye mafuta ambayo kimsingi anajua kuwa yanateleza na kusababisha wafu waanguke na kukanyagana.

Kukutana ya Mwamposa ilifanya tukio baya ambalo lilitakiwa maka leo awe gerezani na kanisa lake kubaki kama makumbusho ya tukio baya sana kuwahi kutokea baada ya lile la Kibwetere.

Lakini ilikuja kuonekana labda kwa sababu Moshi wengi walikua ni Chadema basi waliona hawana maana ya kuishi hata kama Mwamposa angewaua wote isingechukuliwa hatua yoyote . Hii ni mbaya sana .

Paulo Makonda au Bashite atabaki kuwa Chawa wa Kuipigania CCM kwa kumwaga damu za watu lakini kamwe hataingia Ikulu na akiingia hawa mabilionea na Mabepari walipo watamshughulikia ndani ya chama chake na Katiba utafuatwa . Hawa sio watu mbele ya maslahi . Wanaotumia kwa maslahi na watammaliza ki maslahi.

Tundu ni Simba wa Tanganyika na Dunia nzima kwa sasa na ndiye Mwanasiasa mwenye msimamo na asiye na kashfa wala ubinafsi akifuatiwa na Mwabukusi .
 
Huyu muuaji Makonda tunaye hadi aende jela tu hakuna jinsi nyingine
 

Attachments

  • 20240926_181258.jpg
    272.1 KB · Views: 1
Imani ya NYOKO💩💩💩💩💩😡
 
Ww kilaza tambua mungu sio lukas damuu ya mtu haikwagiki bure na bado ya mzee kibao inalia ardhini
 
Weee si mpakwa mafuta kweli?
 
Well said!
 
 

Attachments

  • FB_IMG_1727368868627.jpg
    57.3 KB · Views: 1
Rekebisha title, sema Wasukus siyo ugeneralize Watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…