Watanzania wana imani kubwa sana na Paul Makonda na kamwe Lissu hawezi kushusha na kuondoa imani hiyo

Haishangazi muuaji au jambazi kuwa na watu wengi wanaomwani katika ujambazi wake. Hata wachawi wana watu wengi wanaowaamini ndiyo maana bado wapo. Kuna maeneo, kwa mganga wa kienyeji (mchawi/mwanga) kuna wateja wengi kuliko hospitali.

Hata katika Ulimwengu huu, japo sina takwimu, lakini kuna uwezekano mkubwa shetani ana wafuasi wengi kuliko MUNGU WA KWELI. Hao watu wengi ina maana wanamwamini sana shetani katika maisha yao. Hivyo haishangazi hata huyo Makonda kuwa na watu wanaomwamini.
 
Bila shaka wewe ni muumini na mfuasi wa shetani na ndio maana katika ushetani wako na mawazo yako ya kishetani unaamini kuwa mnaomuamini shetani mpo wengi kuliko tunaomuamini Mungu.

Lakini napenda kukuambia kuwa wafuasi na tunaomuamini Mungu tupo wengi sana kuliko Ninyi wafuasi wa shetani na ushetani wenu.
 
Mimi binafsi namkubali Paul Makonda na nilimpenda pia Magufuli. Mimi hadi leo hii ni muumini wa Magufulification of Africa. Ila ikiwa kwa namna yoyote ile Paul Makonda na hata hayati Magufuli walihusika katika jaribio la kumuua Tundu Lissu, basi walitenda dhambi kubwa sana. Kwamba wao wanaipenda sana Tanzania hadi kufikiria kutoa uhai wa mtu?
 
Unataka kujulikana kwa wanasiasa kupitia majina ya watu ambao huwajui kiundani. Utaolewa na wanasiasa ukiendelea kujipendekeza kwao.
 
๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Matendo yake Au lisu.Jinga Kabisa Wewe
 
Unataka kujulikana kwa wanasiasa kupitia majina ya watu ambao huwajui kiundani. Utaolewa na wanasiasa ukiendelea kujipendekeza kwao.
Bila shaka umeshaolewa ndio maana unafikiri kila mtu anahitaji kuolewa kama wewe.
 
Una Imani naye we anayekulisha usilishe watu milioni 60 uchawa wako mama mdogo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ