Watanzania wana imani kubwa sana na Paul Makonda na kamwe Lissu hawezi kushusha na kuondoa imani hiyo

Kama kweli alishiriki jaribio la kumuua Lisu na ushahidi ukapatikana haraka sana Paul Makonda achukuliwe hatua za kisheria hatutakubaliana na mambo ya kutoana uhai kisa siasa
Ushahidi anao lisu Cha ajabu mwanasheria mzima anaishia kulialia kama professor Assad
 
Jisemee wewe mwenyewe!
Imani kubwa unayo wewe kwake!
Anapaswa ajisafishe kwani tuhuma alizonazo ni mbaya sana!
 
Naunga mkono hoja.
Walianza zamani,
P
 
Mtu kama Pascal Mayala kufunga mkono mtu kama Makonda!Naumia sana,Mungu atuepushe na kufunga mambo yasiyofaa!
 

Wengine wakituhumiwa wanachunguzwa ili haki itendeke. Hakuna haja ya kumtetea sana.
Acha uchunguzi uamue nani ni nani
 
Hakuna kesi hapo

Tanzania hakuna kesi. Ila haina maana hakuna kesi. Kama Bony Yai anahangaishwa vile tena bila sababu, something serious kama hii issue unasema hakuna kesi?

Uzuri ni kuwa inafanyika nje ya Tanzania. Ninavyojua mimi, inaweza kuleta mambo mengi yenye ukakasi hadharani. Ikawavua watu nguo wakawa uchi.

Tuogope sana technology. Sio kitu cha kucheza nacho. Ukiona server iko Dar, ukafilikiria ukiiba ndio umemaliza mambo, unajidanganya. Back up zipo kila kona for the interest of big boys.
 
Mimi sijipendekezi ndugu yangu mtanzania uliyejaa wivu na chuki binafsi
Darasani hjawahi Kaa Wewe,hoja zako dhaifu na za kinyama!Huwezi tetea jitu liuaji linajifanya Lina dini huku uaji,Mnafanana kama Makuhani na mafarisayo,Yesu anaponya Viwete,visiwi
Umemaliza mkuu,achana na Mwashambwa anaetumia jembe mkono!
 
Labda watanzania mapoyoyo kama wewe na ana chuga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…