Watanzania wana imani kubwa sana na Paul Makonda na kamwe Lissu hawezi kushusha na kuondoa imani hiyo

Mwanasheria Mwashambwa! Hv ww unaona una akili saaaaaanaaaana! Kuliko wengine. Au unanwona Lissu kachanganyikiwa? Hoja zako haziwezi kubadili maana au lengo. Halafu hao wanajuana tukae pembeni. Kama wanasingiziana aende mahakamani.
 
Kwani wewe unamuona lissu yupo sawa? Unakumbuka namna ambavyo lissu alikuwa akimtukana na kumdhalilisha Hayati Edward lowassa kabla ya kuhamia CHADEMA 2015? Je uliona na kukumbuka namna alivyoyakana na kugeuka maneno yake juu ya lowassa? Unaanzia wapi kujiamini mtu kigeugeu aina ya lissu?
 
Ni uzushi tu wa lissu kujaribu kutaka kumchafua Mwamba.ndio maana unaona hana ushahidi wa aina yoyote ile zaidi ya kuitumia Marekani kama ndio ushahidi wake.jambo ambalo nimelitolea ufafanuzi kwenye andiko langu.
Ulitaka aseme yote Hana akili au? Hata wewe Mwashambwa ujue uanze kujadili kama unavyoanza kuropoka. Kesi ni kama mpira wa miguu. Kila mtu na alivyojiandaa. Sikutegemea kama utaanza kujadili mambo ya kwenye tv.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…