Watanzania wana imani kubwa sana na Paul Makonda na kamwe Lissu hawezi kushusha na kuondoa imani hiyo

Aliekuroga kafa we lucas makonda anahitajika The Hague sio Tanzania wala na watanzania ngoja marekani itangaze dau la 😆 😄 kumtafuta
 
Ni uzushi tu wa lissu kujaribu kutaka kumchafua Mwamba.ndio maana unaona hana ushahidi wa aina yoyote ile zaidi ya kuitumia Marekani kama ndio ushahidi wake.jambo ambalo nimelitolea ufafanuzi kwenye andiko langu.
Ukapeleke ushahidi London kama ni uzushi kuwa wewe @lucasmwashambwa ni mke wa Daudi Albert Bashite na siku ya lisu kushambuliwa wewe na mmeo Bashite hamkuwa dodoma kamaa anavyodai lisu na kuwa mlikuwa chumbani kwenu Dar
 
Utoto na ujinga vinakusumbua
 
Ni uzushi tu wa lissu kujaribu kutaka kumchafua Mwamba.ndio maana unaona hana ushahidi wa aina yoyote ile zaidi ya kuitumia Marekani kama ndio ushahidi wake.jambo ambalo nimelitolea ufafanuzi kwenye andiko langu.
Kwenye bandiko lako hakuna popote ulipoweka ushahid(tangible evidence) ya kuwa Makonda(Bashite-his real name) hakuhusika katika assassination attempt ile ya Lissu. Amekuwa implicated mpaka wafadhili/mabeberu na wazawa wengi wenye fikra huru kwa circumstancial evidences walizopewa wameamini kuwa amehusika lakini funny enough polisi wa Tanzania (kwa sababu wanazozijua wenyewe au probably kwa amri au maelekezo kutoka 'juu') wamekataa kabisa kukufanyia uchunguzi tukio like.
Tukio lile lina public interests hivyo kukaa kimya kwa polisi na serikali kwa ujumla katika uchunguzi wa shambulio lile ni dalili kwamba kuna yanayofichwa na kuna wanaolindwa.
 
Embu niwekee hapa ushahidi wako wenye mashiko
 
Embu niwekee hapa ushahidi waking. XXJ wenye mashiko
The main point is umeweka mlolongo wa maelezo kujitahidi kumsafisha Makonda/Bashite lakini haujaweka tangible evidences kumtoa katika sakata hilo, you're obliged to do that. As the matter of fact ulipaswa kuambatanisha ushahidi ili bandiko lako lilete maana otherwise inakuwa ni hadithi tu kama za sungura na fisi.
Ukiweka ushahidi na wanaokupinga watapaswa kukupinga kwa ushahidi, it's simply a straight common sense.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…