Watanzania wana imani kubwa sana na Paul Makonda na kamwe Lissu hawezi kushusha na kuondoa imani hiyo

Uchawa mzigo.
 
Jikite katika hoja kama ambavyo mimi nimefanya kujenga hoja aya kwa aya.
Wapumbavu ndio Hawa kina Mwashambwa,yaani hata familia ikikosea kuna wakati tunakosoana,si kwa Upumbavu huu Mwashambwa huna Hekima hata nusu kijiko labda kama unaact!
 
Wapumbavu ndio Hawa kina Mwashambwa,yaani hata familia ikikosea kuna wakati tunakosoana,si kwa Upumbavu huu Mwashambwa huna Hekima hata nusu kijiko labda kama unaact!
Ungejibu hoja kwa hoja na siyo kukaririshwa vitu na akina Lissu na kumeza kama kasuku
 
Hii kauli ya Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Sijajua kama ni mimi au wote ndo tumeielewa vibaya! Hesabu za bi mkubwa kwa sasa anamalizia kipindi cha mpito kisha ana miaka kumi kwa maana ya 5 pamoja na 5 ya mwisho.
Au nimeelewa vibaya?!​
 
Hoja hujibiwa kwa hoja.kila siku nakuambia ujifunze kujenga hoja na siyo kukurupuka tu kama kuku.

Kwa hii mada wenye hoja ni lisu na makonda

Makonda anatakiwa kwenda kukanusha

Lisu Alishapeleka kesi Mahakamani na alimtaja makonda kuhusika

Kilichokuwa kimebakia kwenye uchunguzi ni dereva wa lisu kuhojiwa

Alieshambuliwa amemtaja aliehusika na plan ya kupigwa Risasi

Alietajwa ajaenda kukanusha popote

On behalf wewe ndio unakuja kutetea

Ndio maana nakwambia sio kila Jambo la kujitetea

Ulimpamba Sana alipokuwa mwenezi

Ukaishiwa nguvu after bosi wake kumshusha cheo

Ndio maana nakwambia sio kila Jambo la kutetea

Wewe bakia na Slogan yako Samia mitano tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…