Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #61
πππKaa kwa kutulia maana watanzania tuna mpango wa kumpa mama aongoze Taifa letu mpaka achoke MwenyeweHii kauli ya Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Sijajua kama ni mimi au wote ndo tumeielewa vibaya! Hesabu za bi mkubwa kwa sasa anamalizia kipindi cha mpito kisha ana miaka kumi kwa maana ya 5 pamoja na 5 ya mwisho.
Au nimeelewa vibaya?!
Wewe lazima ukapakwe kilainishi na yule mkoraUngeacha kwanza wenye akili Timamu wajadili hoja.
Kweli Mungu mwashe aitwe Mungu,aliumba mtu kwa mfano wake hata Mwashambwa! DuuhJibu hoja au kaa pembeni kwanza usubiri hoja zenye kuendana na uwezo na upeo wako.
Hakuna mtanzania ambaye yupo tayari kuhangaika na huo uzushi wa lissu.ndio maana tangia ameanza kuzungumza jambo hilo hakuna uungwaji mkono wowote ule alioupata kutoka kwa watanzania.Maji kujaa na maji kupwaa.
Muda ni mwalomu mzuri,we chawa.
Wataendelea kuvuliwa nguo,mpaka wabaki nyuchiπ€£π€£π€£π€£π€£π€£
Naona unapenda sana huo mchezo na ndio maana unataka kutufahamisha hapa kazi yako.Wewe lazima ukapakwe kilainishi na yule mkora
Wagonjwa wa Akili tuko wengi,madaftari wachache!Hakuna mtanzania ambaye yupo tayari kuhangaika na huo uzushi wa lissu.ndio maana tangia ameanza kuzungumza jambo hilo hakuna uungwaji mkono wowote ule alioupata kutoka kwa watanzania.
Makondal atahukumiwa kunyongwa hadi afeHakuna mtanzania ambaye yupo tayari kuhangaika na huo uzushi wa lissu.ndio maana tangia ameanza kuzungumza jambo hilo hakuna uungwaji mkono wowote ule alioupata kutoka kwa watanzania.
Mwamba hana muda mchafu wa kuanza kujibizana na lissu.Mwamba anaendelea kuchapa kazi kuwahudumia watanzania katika majukumu aliyopewa na Mheshimiwa RaisKwa hii mada wenye hoja ni lisu na makonda
Makonda anatakiwa kwenda kukanusha
Lisu Alishapeleka kesi Mahakamani na alimtaja makonda kuhusika
Kilichokuwa kimebakia kwenye uchunguzi ni dereva wa lisu kuhojiwa
Alieshambuliwa amemtaja aliehusika na plan ya kupigwa Risasi
Alietajwa ajaenda kukanusha popote
On behalf wewe ndio unakuja kutetea
Ndio maana nakwambia sio kila Jambo la kujitetea
Ulimpamba Sana alipokuwa mwenezi
Ukaishiwa nguvu after bosi wake kumshusha cheo
Ndio maana nakwambia sio kila Jambo la kutetea
Wewe bakia na Slogan yako Samia mitano tena
Utakwenda wewe na ujinga wako.Mwambieni ajiandae kujibu kesi ya ugaidi ...viwanja vya mahakama jijini london
Endelea kulinda Wauaji ukidhani uko salama, Muulize NapeNdugu zangu Watanzania,
Ningependa kusema ya kuwa Lissu atahangaika sana,ataongea sana lakini kamwe na katu hataweza kumchafua wala kushusha imani waliyonayo watanzania kwa Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini mwa jangwa la Sahara.
Ambayo imejengwa katika misingi ya uchapakazi, uzalendo,utu,huruma na ujasiri Mkubwa alionao Mwamba Mwenyewe Paul Makonda .ambaye amekuwa mtetezi wao kwa kila nafasi anayoipata na kuaminiwa na Mheshimiwa Rais ya kuwatumikia watanzania.
Nimesikia akiongelea na kujaribu kumchafua Mwamba Makonda kuwa Kwanini ameteuliwa ukuu wa Mkoa Wakati anatuhumiwa kupora vitu kama vile magari ya watu. Swali la kumuuliza lissu ni kuwa ni nani huyo aliyeporwa magari? Ni nani huyo aliyeporwa mali na Mwamba Makonda?
Kesi ipo katika mahakama ipi na ni kesi namba ngapi ya mwaka gani? Mwenendo wa kesi umefikia wapi? Inasimamiwa na jaji yupi? magari hayo yaliyoporwa ni aina gani?,namba zake zipo wapi? Nyaraka za magari hayo zipo wapi kuthibitisha uporaji huo? Kwanini lisu anatuhumu bila ushahidi wa aina yoyote ile?
Anaposema Mwamba Makonda alizuiliwa na Marekani kwa sababu ya kufanya vitendo vya kihalifu .swali ni kuwa Marekani ni nani?
Je siyo Marekani huyo huyo aliituhumu Ilaki chini ya Saddam Hussein kuwa Inamiliki silaha za Maangamizi? Je mumewahi kuonyeshwa silaha hizo za maangamizi? Mumewahi kuonyeshwa kiwanda cha silaha hizo na shehena ya silaha hizo za maangamizi zilizokutwa?
Je siyo Marekani hiyo hiyo ilimtuhumu Muamar Gaddafi kuwa anaua watu wake na kwamba anakandamiza demokrasia? Je tangia amefariki Gaddafi mmeiona hiyo democrasia Libya? Je maisha waliyoishi Walibya chini ya Gaddafi ndio haya wanayoishi Walibya Leo? Libya ya Gaddafi ndio hii ya Sasa? Je kuna amani tena Libya? Kuna utulivu? Kuna demokrasia?
Hamuoni zilikuwa ni hujuma tu za Marekani? Hamuoni na kufahamu ya kuwa vita ya Marekani na hasira zao ilikuwa ni kitendo cha Mwamba Mwenyewe Paul Makonda kupiga vita sana Mashoga na watu wote waliokuwa wanajihusisha na vitendo vya kishoga? Je hamfahamu kuwa Marekani inaunga mkono vitendo vya kishoga kwa kauli ya haki za binadamu? Hamfahamu kuwa Marekani inapambana sana na kwa gharama kubwa na kwa kila aina ya ushawishi kuingiza uchafu huo wa ushoga barani Afrika ?Je wewe mtanzania mwenye akili Timamu na mwenye hofu ya Mungu unaweza kuunga mkono ushetani huo?
Sasa kwanini msifahamu na kuelewa ya kuwa Mwamba Makonda alichafuliwa na Marekani kwa sababu tu ya kitendo na hatua zake za kupinga ushoga hadharani?
Kwa hiyo niseme wazi kuwa lissu hawezi kumchafua Mwamba Makonda kwa namna yoyote ile ,wala kuondoa Imani kubwa waliyonayo watanzania kwa Mwamba Mwenyewe Paul Makonda. Lissu atahangaika sana pengine kwa kutumiwa na wabaya wa Mwamba kujaribu kumpaka matope ,kumshushia heshima,kumtoa kwenye reli,kumvuruga ,kumnyong'onyesha na kumdhoofisha lakini kamwe hataweza kufanikiwa hata kidogo.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wenye akili,ndo wanaelewa.Hakuna mtanzania ambaye yupo tayari kuhangaika na huo uzushi wa lissu.ndio maana tangia ameanza kuzungumza jambo hilo hakuna uungwaji mkono wowote ule alioupata kutoka kwa watanzania.
Tabia zako za kujilengesha kwa wanaume na kuwasifia umwamba ndiyo zinadhihirisha kuwa wewe una vimelea vya upinde,nani mwanume kamili humu jukwaani anafanya huu ujinga kama ufanyavyo wewe? Wanaume hatupo hivyo wewe ni wa jinsia ya tatu tu.Naona unapenda sana huo mchezo na ndio maana unataka kutufahamisha hapa kazi yako.
Umwamba huo ni mnapokuwa faragha tuMwamba hana muda mchafu wa kuanza kujibizana na lissu.Mwamba anaendelea kuchapa kazi kuwahudumia watanzania katika majukumu aliyopewa na Mheshimiwa Rais
Sio ajabu kusikia kauli hizi ikiwa mnapata chochote kitu! Ni kawaida kwa Wana CCM kusifia jambo lolote ikiwa tu kuna manufaa.πππKaa kwa kutulia maana watanzania tuna mpango wa kumpa mama aongoze Taifa letu mpaka achoke Mwenyewe
Hii imekaa vizuriAliyekubali koozi lilokutungisha wewe libakie tumboni mwake ndo mjinga
Mi huwa nasoma maoni ya wachangiaji tu, maandishi yake, huwa nasoma heading pekee!Asante kwa maneno yako.
MAKONDA FOR PRESDENT 2030, Lisu aende FB aone maoni ya vitoto vya 2000,badala ajenge hoja ye anatafuta hurumaNdugu zangu Watanzania,