Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Pdiddy anamtaka Mwashambwa gerezani akumuhudumie!Tabia zako za kujilengesha kwa wanaume na kuwasifia umwamba ndiyo zinadhihirisha kuwa wewe una vimelea vya upinde,nani mwanume kamili humu jukwaani anafanya huu ujinga kama ufanyavyo wewe? Wanaume hatupo hivyo wewe ni wa jinsia ya tatu tu.
Punguani hamkosekani!MAKONDA FOR PRESDENT 2030, Lisu aende FB aone maoni ya vitoto vya 2000,badala ajenge hoja ye anatafuta huruma
Nitasomaje maoni ya kipumbavu namna hiyo. Mwanaume mzima unakuja humu kumtetea mtu ambaye dunia nzima inafahamu kwamba ni mhalifu hadi kupigwa marufuku kukanyaga ardhi za mataifa mengine halafu unamfagilia mhalifu kama huyo eti kisa njaa, ghasia kabisa wewe.Hivi una matatizo ya akili? Hujasoma halafu unakurupukia kutoa maoni? Kweli ujinga ni mzigo sana.
Punguani huyu,waweke jukwaa la Akili ndogo kiongozi awe Mwashambwa, huyu anaweza kuua kabisa!Nitasomaje maoni ya kipumbavu namna hiyo. Mwanaume mzima unakuja humu kumtetea mtu ambaye dunia nzima inafahamu kwamba ni mhalifu hadi kupigwa marufuku kukanyaga ardhi za mataifa mengine halafu unamfagilia mhalifu kama huyo eti kisa njaa, ghasia kabisa wewe.
Labda wewe ndio Muuaji MwenyeweEndelea kulinda Wauaji ukidhani uko salama, Muulize Nape
Nami nitakujibuji ujinga wako huo?Nitasomaje maoni ya kipumbavu namna hiyo. Mwanaume mzima unakuja humu kumtetea mtu ambaye dunia nzima inafahamu kwamba ni mhalifu hadi kupigwa marufuku kukanyaga ardhi za mataifa mengine halafu unamfagilia mhalifu kama huyo eti kisa njaa, ghasia kabisa wewe.
Naona unapenda sana huo utamaduni na bila shaka utakuwa ni miongoni mwa mawakala wa huo ushetaniTabia zako za kujilengesha kwa wanaume na kuwasifia umwamba ndiyo zinadhihirisha kuwa wewe una vimelea vya upinde,nani mwanume kamili humu jukwaani anafanya huu ujinga kama ufanyavyo wewe? Wanaume hatupo hivyo wewe ni wa jinsia ya tatu tu.
Hapo kwenye Watanzania ungeandika Chawa wa Lumumba ingeleta maana.Ndugu zangu Watanzania,
Ningependa kusema ya kuwa Lissu atahangaika sana,ataongea sana lakini kamwe na katu hataweza kumchafua wala kushusha imani waliyonayo watanzania kwa Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini mwa jangwa la Sahara.
Ambayo imejengwa katika misingi ya uchapakazi, uzalendo,utu,huruma na ujasiri Mkubwa alionao Mwamba Mwenyewe Paul Makonda .ambaye amekuwa mtetezi wao kwa kila nafasi anayoipata na kuaminiwa na Mheshimiwa Rais ya kuwatumikia watanzania.
Nimesikia akiongelea na kujaribu kumchafua Mwamba Makonda kuwa Kwanini ameteuliwa ukuu wa Mkoa Wakati anatuhumiwa kupora vitu kama vile magari ya watu. Swali la kumuuliza lissu ni kuwa ni nani huyo aliyeporwa magari? Ni nani huyo aliyeporwa mali na Mwamba Makonda?
Kesi ipo katika mahakama ipi na ni kesi namba ngapi ya mwaka gani? Mwenendo wa kesi umefikia wapi? Inasimamiwa na jaji yupi? magari hayo yaliyoporwa ni aina gani?,namba zake zipo wapi? Nyaraka za magari hayo zipo wapi kuthibitisha uporaji huo? Kwanini lisu anatuhumu bila ushahidi wa aina yoyote ile?
Anaposema Mwamba Makonda alizuiliwa na Marekani kwa sababu ya kufanya vitendo vya kihalifu .swali ni kuwa Marekani ni nani?
Je siyo Marekani huyo huyo aliituhumu Ilaki chini ya Saddam Hussein kuwa Inamiliki silaha za Maangamizi? Je mumewahi kuonyeshwa silaha hizo za maangamizi? Mumewahi kuonyeshwa kiwanda cha silaha hizo na shehena ya silaha hizo za maangamizi zilizokutwa?
Je siyo Marekani hiyo hiyo ilimtuhumu Muamar Gaddafi kuwa anaua watu wake na kwamba anakandamiza demokrasia? Je tangia amefariki Gaddafi mmeiona hiyo democrasia Libya? Je maisha waliyoishi Walibya chini ya Gaddafi ndio haya wanayoishi Walibya Leo? Libya ya Gaddafi ndio hii ya Sasa? Je kuna amani tena Libya? Kuna utulivu? Kuna demokrasia?
Hamuoni zilikuwa ni hujuma tu za Marekani? Hamuoni na kufahamu ya kuwa vita ya Marekani na hasira zao ilikuwa ni kitendo cha Mwamba Mwenyewe Paul Makonda kupiga vita sana Mashoga na watu wote waliokuwa wanajihusisha na vitendo vya kishoga? Je hamfahamu kuwa Marekani inaunga mkono vitendo vya kishoga kwa kauli ya haki za binadamu? Hamfahamu kuwa Marekani inapambana sana na kwa gharama kubwa na kwa kila aina ya ushawishi kuingiza uchafu huo wa ushoga barani Afrika ?Je wewe mtanzania mwenye akili Timamu na mwenye hofu ya Mungu unaweza kuunga mkono ushetani huo?
Sasa kwanini msifahamu na kuelewa ya kuwa Mwamba Makonda alichafuliwa na Marekani kwa sababu tu ya kitendo na hatua zake za kupinga ushoga hadharani?
Kwa hiyo niseme wazi kuwa lissu hawezi kumchafua Mwamba Makonda kwa namna yoyote ile ,wala kuondoa Imani kubwa waliyonayo watanzania kwa Mwamba Mwenyewe Paul Makonda. Lissu atahangaika sana pengine kwa kutumiwa na wabaya wa Mwamba kujaribu kumpaka matope ,kumshushia heshima,kumtoa kwenye reli,kumvuruga ,kumnyong'onyesha na kumdhoofisha lakini kamwe hataweza kufanikiwa hata kidogo.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Naona tayari hoja yangu imekuchoma mpaka sasa umechanganyikiwa kabisa.Aliyekubali koozi lilokutungisha wewe libakie tumboni mwake ndo mjinga
Uchawa na ushoga ni kulwa na dotoNaona unapenda sana huo utamaduni na bila shaka utakuwa ni miongoni mwa mawakala wa huo ushetani
Huoni namna ambavyo wetu hufurika na kumiminika katika mikutano yake? Umesahau kuwa majuzi tu hapa CHADEMA imekosa watu hata wa kumsaidia Mbowe asikamatwe?Hapo kwenye Watanzania ungeandika Chawa wa Lumumba ingeleta maana.
Nimepata sababu nyingine ya kutathimini ujinga wako ni wa kiwango ganialiituhumu Ilaki chini ya Saddam Hussein
Mwenye akili ndogo akizidiwa hoja hukimbilia maneno ya kijinga jinga tuPunguani huyu,waweke jukwaa la Akili ndogo kiongozi awe Mwashambwa, huyu anaweza kuua kabisa!
Ndugu zangu Watanzania,
Ningependa kusema ya kuwa Lissu atahangaika sana,ataongea sana lakini kamwe na katu hataweza kumchafua wala kushusha imani waliyonayo watanzania kwa Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini mwa jangwa la Sahara.
Ambayo imejengwa katika misingi ya uchapakazi, uzalendo,utu,huruma na ujasiri Mkubwa alionao Mwamba Mwenyewe Paul Makonda .ambaye amekuwa mtetezi wao kwa kila nafasi anayoipata na kuaminiwa na Mheshimiwa Rais ya kuwatumikia watanzania.
Nimesikia akiongelea na kujaribu kumchafua Mwamba Makonda kuwa Kwanini ameteuliwa ukuu wa Mkoa Wakati anatuhumiwa kupora vitu kama vile magari ya watu. Swali la kumuuliza lissu ni kuwa ni nani huyo aliyeporwa magari? Ni nani huyo aliyeporwa mali na Mwamba Makonda?
Kesi ipo katika mahakama ipi na ni kesi namba ngapi ya mwaka gani? Mwenendo wa kesi umefikia wapi? Inasimamiwa na jaji yupi? magari hayo yaliyoporwa ni aina gani?,namba zake zipo wapi? Nyaraka za magari hayo zipo wapi kuthibitisha uporaji huo? Kwanini lisu anatuhumu bila ushahidi wa aina yoyote ile?
Anaposema Mwamba Makonda alizuiliwa na Marekani kwa sababu ya kufanya vitendo vya kihalifu .swali ni kuwa Marekani ni nani?
Je siyo Marekani huyo huyo aliituhumu Ilaki chini ya Saddam Hussein kuwa Inamiliki silaha za Maangamizi? Je mumewahi kuonyeshwa silaha hizo za maangamizi? Mumewahi kuonyeshwa kiwanda cha silaha hizo na shehena ya silaha hizo za maangamizi zilizokutwa?
Je siyo Marekani hiyo hiyo ilimtuhumu Muamar Gaddafi kuwa anaua watu wake na kwamba anakandamiza demokrasia? Je tangia amefariki Gaddafi mmeiona hiyo democrasia Libya? Je maisha waliyoishi Walibya chini ya Gaddafi ndio haya wanayoishi Walibya Leo? Libya ya Gaddafi ndio hii ya Sasa? Je kuna amani tena Libya? Kuna utulivu? Kuna demokrasia?
Hamuoni zilikuwa ni hujuma tu za Marekani? Hamuoni na kufahamu ya kuwa vita ya Marekani na hasira zao ilikuwa ni kitendo cha Mwamba Mwenyewe Paul Makonda kupiga vita sana Mashoga na watu wote waliokuwa wanajihusisha na vitendo vya kishoga? Je hamfahamu kuwa Marekani inaunga mkono vitendo vya kishoga kwa kauli ya haki za binadamu? Hamfahamu kuwa Marekani inapambana sana na kwa gharama kubwa na kwa kila aina ya ushawishi kuingiza uchafu huo wa ushoga barani Afrika ?Je wewe mtanzania mwenye akili Timamu na mwenye hofu ya Mungu unaweza kuunga mkono ushetani huo?
Sasa kwanini msifahamu na kuelewa ya kuwa Mwamba Makonda alichafuliwa na Marekani kwa sababu tu ya kitendo na hatua zake za kupinga ushoga hadharani?
Kwa hiyo niseme wazi kuwa lissu hawezi kumchafua Mwamba Makonda kwa namna yoyote ile ,wala kuondoa Imani kubwa waliyonayo watanzania kwa Mwamba Mwenyewe Paul Makonda. Lissu atahangaika sana pengine kwa kutumiwa na wabaya wa Mwamba kujaribu kumpaka matope ,kumshushia heshima,kumtoa kwenye reli,kumvuruga ,kumnyong'onyesha na kumdhoofisha lakini kamwe hataweza kufanikiwa hata kidogo.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Unaonekana hata kuua, Wewe unaweza mradi utetee ujinga wako hata chembe ya Aibu huna!Mwenye akili ndogo akizidiwa hoja hukimbilia maneno ya kijinga jinga tu
LISU NI SHOGAUchawa na ushoga ni kulwa na doto
Yaani kumbe kwa upande wa utawala wa sheria nchi yetu inaonekana choo tu mbele ya macho ya walimwengu.
Acha ujinga wako weweUkizaa mtoto kama Mwashambwa hesabu maumivu na omba asikutane na pdiddy!