Watanzania wana imani kubwa sana na Paul Makonda na kamwe Lissu hawezi kushusha na kuondoa imani hiyo

Ni sahihi kabisa kwa Watanzania wajinga kama wewe, kuwa na imani na mtu wa aina hiyo.
 
Leo ndiyo nimekudharau mazima sikutegemea akili yako iko hivi
 


Atubu tu mapema maana ukweli unakuja
 
Sema mimi na imani na Makonda.
 
Nikajuwa unapinga juu ya habari ya nchi.kumbe tatizo lako lipo katika herufi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…