Watanzania wana imani kubwa sana na Paul Makonda na kamwe Lissu hawezi kushusha na kuondoa imani hiyo


Political Analysis ulisomea chuo gani??
Umesahau footage ya Cloud house na kasi za nyumba na magari.
Hukumu ya tume ya maadili ya viongozi je!!!!!!
Wasomi tunaburudika kwa tamithilia yako pls keep on.
 
Makonda ni miongoni mwa very powerful, visionary, patriotic, influential and respected leader kitaifa na kimataifa wa nyakati hizi..

Ni modern leader.

Infact,
marekani kumzuia kuingia nchini kwao kwasababu ya uchapakazi hodari wake, sio issue, japo walisha muondolea kikwazo hicho. Lakini anabaki kua kiongozi mahiri nchini, ambae anaweza kufanya kazi na mataifa mengine ya ulaya na Asia .

Lisu anajishosha zaidi kumchafua, ni afadhali akakoncentrait kushughulikia utimamu wa mwili wake ambao yeye mwenye alikiri ni mbovu kupita kiasi au akapata mapunziko ya kutosha na akihitaji mchango tupo tayari tutamchangia tu 🐒
 
Ni uzushi tu wa lissu kujaribu kutaka kumchafua Mwamba.ndio maana unaona hana ushahidi wa aina yoyote ile zaidi ya kuitumia Marekani kama ndio ushahidi wake.jambo ambalo nimelitolea ufafanuzi kwenye andiko langu.
Nafikiri una funza kwenye ubongo!
 
Mnaohangaika kuficha ukweli ni nyinyi. Sasa mnaanza kuumbuliwa tena kutokea ughaibuni ambako hakuna akina Kingai, Biswalo wala Mafwele.

Time will tell.
Ukweli upi huo? Unafahamu maana ya ukweli? Unafahamu maana ya ukweli usioacha mashaka?
 
Uwe unaona aibu vitu vingine,Sasa ikijulika kama Mwamba alishiliki,Je utakubali ubebe zambi zake,yaani ufungwe baadala yake?
Naona hata wewe mwenyewe unaandika ukiwa huna uhakika wa ngonjera za lissu ambazo amekuwa akiziimba kila siku.
 
Wakati tukio linatokea ulikuwa bado hata hujapata fahamu kuhusu siasa za Tanzania vizuri hivyo huna uhalali wa kuniuliza kama hii story naijua maana ilikuwa live hadi vurugu zilipoanza.
Nimeanza siasa muda mrefu sana ndugu yangu mtanzania uliyejaa chuki binafsi
 
Nikajuwa unapinga juu ya habari ya nchi.kumbe tatizo lako lipo katika herufi.
Yaani kwa akili yako unaamini na kujiamini kabisa kusema "Iraq" ni sawa na "Ilaki"

Huna tofauti na Magufuli aliyesema Saddam Hussein ni rais wa Kuwait halafu mataga wakawa wanasema amekosea "kidogo" kwamba bado ni nchi ya ukanda ule ule.
 
Makonda nasikia anaenda kufungua mashitaka. Nimeshangaa sana. Lissu akili kubwa sana anamtaja Makonda bila kificho. Polisi wanatakiwa kumkamata Lissu awape ushahidi.
 
Nikajuwa unapinga juu ya habari ya nchi.kumbe tatizo lako lipo katika herufi.
Yaani kwa akili yako unaamini na kujiamini kabisa kusema "Iraq" ni sawa na "Ilaki"

Huna tofauti na Magufuli aliyesema Saddam Hussein ni rais wa Kuwait halafu mataga wakawa wanasema amekosea "kidogo" kwamba bado ni
Nimeanza siasa muda mrefu sana ndugu yangu mtanzania uliyejaa chuki binafsi
Nimeanza siasa muda mrefu sana ndugu yangu mtanzania uliyejaa chuki binafsi
Kadanganye watoto wenzio huko chawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…