Watanzania wana imani kubwa sana na Paul Makonda na kamwe Lissu hawezi kushusha na kuondoa imani hiyo

Peleka uhayawani wako huko, jitu halina hata aibu lipo kila siku kuandka takataka, huoni hata aibu kuandika mashudu kila siku? Kuna siku CCM watakuchoka na huo ujinga wako watakuona takataka tu unawajazia nzi huna msaada wowote kwao mbon atangu umeanza kuwapamba hawaoni chochote unachoongeza zad unaacha wote waonekane hamnazo. Hata huyu Makonda unayempamba hapa kuna siku atakuambia uache kujipendekeza kwake kwakuwa unaacha azidi kuonekana dhalimu kuliko kusafishika
 
Sasa wapi nilipoandika kuwait? Kwanini unatoa mifano ambayo hata haiendani kabisa??
 
Shahawa nyingine heri zingemwagwa nje tu
 
Ungejikita katika kujibu hoja kuliko kuonyesha ujinga na umbumbumbu wako hapa.kama unahasira sana basi kunywa sumu UFE tu
 
Katika hili labda mimi sio Mtanzania
Utafiti kwamba Watanzania wana imani nae umeufanyia wapi?
Mbona mimi sikuhojiwa wala kujaza fomu ya dodoso popote pale
 
Katika hili labda mimi sio Mtanzania
Utafiti kwamba Watanzania wana imani nae umeufanyia wapi?
Mbona mimi sikuhojiwa wala kujaza fomu ya dodoso popote pale
Inategemea upo wapi .lakini kiuhalisia Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda anakubalika sana na watanzania
 
Imani kwake unayo wewe.

Tokea lini nikawa na imani na SHETANI!
 
Ndugu yangu ungemfaa sana kwa kumshauri ajisafishe kuhusu suala hilo na si kwa hayo maneno yako. Ukituhimiwa inatakiwa ukanushe na hata kumshitaki anayekutuhumu athibitishe tuhuma zake.
 
Hakuna mtanzania ambaye yupo tayari kuhangaika na huo uzushi wa lissu.ndio maana tangia ameanza kuzungumza jambo hilo hakuna uungwaji mkono wowote ule alioupata kutoka kwa watanzania.
Sikiliza ushauri wa bure wa wakubwa.

Muombe sana Mama aachane na huyo jamaa na genge lake - kwa ajili ya afya yake. Amepotoka sana kujinasibisha na mtu yule. Ile imeshakuwa poison kali mtihili ya cyanide. Hataiweza dhahma inayomjia. Ajiulize ilikuwaje JPM akaanza kuepuka kuwa karibu naye (hadharani) kuelekea siku zake za mwisho. Data zimeshatandazwa kwenye mkeka.
 
Itakuwa anaaminiwa sn na 'kina' wake zake wao kazi yao nikumsifu tuuu mitandaoni nk.
Tunajua maovu yke yakiwekwa wazi waovu wenzie mnateseka mioyo yenu na mtakosa matunzo. Mungu ni mkuu na atazidi kuumbua hawa
Shameless evils
 
yule ni muuaji mwaga damu za watu,zake zimefika damu za watu zinamlilia toka mavumbini
 
Itakuwa anaaminiwa sn na 'kina' wake zake wao kazi yao nikumsifu tuuu mitandaoni nk.
Tunajua maovu yke yakiwekwa wazi mnateseka mioyo yenu na mtakosa matunzo.
Shameless evil
Mwamba Makonda anaendelea kuwa katika mioyo ya watanzania na kuombewa kuja kushika nafasi za juu kabisa kitaifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…