Watanzania wana imani kubwa sana na Paul Makonda na kamwe Lissu hawezi kushusha na kuondoa imani hiyo

Wakati mwingine bora unyamaze tuu umeandika ujinga mtupu.
 
Kwa sababu tumeishajua kuwa mnaongozwa na mrevi, tuakusamehe, hujui usemalo
 
Mkuu weka akiba ya maneno.
 
Siku aliporudishwa tu chamani na serikalini,ndio hapo nikajua ccm inatatizo kubwa saana kwa sasa, na cha kuchekesha wakampa wadhifa wa juu kabisa!🀣🀣🀣
Huyu hata uanachama hakustahili, kumstahi tu,alitakiwa akae pembeni auze pharmacy yake, watu wanajua uchafu wake na unachafua chama!
 
Mwamba ni mtu safi .ndio maana muda wote aliokuwa pembeni hujawahi kuona misururu ya watu mahakamani kwenda kufungua kesi ya aina yoyote ile kumshitaki.
 
Naona Lissu anaanza tena kuinyima CCM usingizi.
Labda CHADEMA ndio wanakosa usingizi kwa kuendelea kupuuzwa na watanzania.si umeona majuzi hapa watu wamegoma kabisa kuandamana na kumuacha mbowe Peke yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…