Watanzania wana JF mchangieni baba wa taifa hata buku changia hii ni kazi ya Mungu

2,000 kutoka kwangu ameipata hiyo kesho. Watanzania tujenge desturi kuchangia vyama vinavyopigania haki (haki ambayo imetamkwa mara nyingi kwenye Biblia). Hiyo ni sadaka bora kwa Mungu
 
Kale kale kajamaa ka uvisisiemu kalisema et kamehelimisha watu wasiwachangie hao viongozi wa cdm sijuh kakiona hv kanajisikiaje🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…