Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
zidisha juhudi katika kufanya kazi, kwani mtaji ulionao ni nguvu zako mwenyewe..Mfani rj45 connector ni 200 madukani ikizidi 500, mtu anauza 1500 au 2000
Kifaa ambacho dukan ni elf 65, mtu anaweka 120,000. Kifupi wanaweka bei mara mbili ya inavyokua kawaida, watu wanatamaa sana.
Pamoja Mimi ni mdau wa afya mwandamizi seniorMfani rj45 connector ni 200 madukani ikizidi 500, mtu anauza 1500 au 2000
Kifaa ambacho dukan ni elf 65, mtu anaweka 120,000. Kifupi wanaweka bei mara mbili ya inavyokua kawaida, watu wanatamaa sana.
duka gani mkuu?Ndio biashara huria hiyo
Kila mtu apange bei yake
Na ndio watu wanaouza bei halisi jiwa nanunua sana vitu vyao
Kuna kipindi fulani nilikuwa naenda kariakoo kununua vifaa vya electronics bei zilikuwa balaa unazunguka wee na wanaanzia juu kichizi ili mshushane mpaka chini
Kitu cha 200k atakwambia 350k ili mbishane weee ndio akuuzie
Katika pita pita moja hapo nishachoka nikaona duka moja kuulizia tu naambiwa 190k, nilishtuka nikajua feki ila kuitazama sababu naijua nikakuta original
Toka siku hiyo ndio likawa duka langu mpaka kesho nikitaka chochote huwa naanzia hapo kwanza
Kuuza bei halisi kunaleta sana wateja