Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Sheria zilizojaa ujinga zimeanza kukumbana na hoja kinzani kutoka kwa wananchi
Pia soma:“Indigenous Peoples” ndio wenye haki ya kuamua wanataka nini kimaendeleo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana hoja.Sheria zilizojaa ujinga zimeanza kukumbana na hoja kinzani kutoka kwa wananchi
View attachment 3084645
Tanzania kuna matatizo mengi Sana ya kutengenezwa na Watawala.Sheria zilizojaa ujinga zimeanza kukumbana na hoja kinzani kutoka kwa wananchi
View attachment 3084645
Acha CCM wawe wanachaguliwa na tembo sasa ahaaa!Sheria zilizojaa ujinga zimeanza kukumbana na hoja kinzani kutoka kwa wananchi
Amen to that, this is just the beginningNecessity is the mother of all invention. Just keep watching
Uwe unafaham kabla huja comment. Tanapa si kitengo cha jeshi, ni taasis inayojitegemea, na si taasisi pekee inayo deal na wanyama poriTanapa ni kitengo cha upigaji tu jeshini.
Afande Faustin Mafwele asije akapeleka vijana wake kwenda kumteka huyu kijanaSheria zilizojaa ujinga zimeanza kukumbana na hoja kinzani kutoka kwa wananchi
Hoja yako ni nini?Uwe unafaham kabla huja comment. Tanapa si kitengo cha jeshi, ni taasis inayojitegemea, na si taasisi pekee inayo deal na wanyama pori
Stating the factsHoja yako ni nini?
Hilo jina kwa sasa, na alama ya shetani Duniani.Afande Faustin Mafwele asije akapeleka vijana wake kwenda kumteka huyu kijana