Watanzania wanaofanya phd ujerumani wanakufa!

Watanzania wanaofanya phd ujerumani wanakufa!

kwenye huku wa2 wanastruggle kuhusu mikopo vyuoni,je iwe abroad,pole sana wote waliofikiwa na tatizo hili
 
Hii siyo mara yangu ya kwanza kusikia vilio kutoka kwa wanafunzi wa Kitanzania wanaishi nje. Nimeshasikia vilio kutoka Uganda, India, UK, n.k. Ikiwa kama balozi zinalia kilio cha mbwa mwizi kwa kutelekezwa na serikali ya Tanzania, je wanafunzi hali si itakuwa mara zaidi ya mbili?

Taifa linaloamini katika ushirikina kimya kimya (kuna Wabunge, yaani watunga sheria na wapitisha sera, wanatambulikwa kuwa ni Maprofesa wa ushirikina), unadhani wanajua umuhimu wa kusoma Elimu ya Juu, hususani kusoma nje. MTIZAMO: Hata hii Elimu ya Juu hapa nchini inafadhiliwa na serikali kwa sababu ya kuogopa wadau wa kimataifa.
 
Poleni wandugu,hii ndio tanzania mlioiacha,haijabadilika.
Nawasii viongizi husika mchukue hatua za haraka kuwa nusuru wa Tz wanaotaabika Ujerumani.
 
Back
Top Bottom