Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
Mtanzania aliyeopo Ukraine aeleza jinsi hali ilivyo katika mji wa Kharkiv ambapo anasoma masomo yake ya udaktari bingwa. Akizungumza, Dkt. Evans Liseki. Amesema milipuko kadhaa imesikika na. wameamriwa kukaa ndani na mamlaka hivyo ameshindwa kuhudhuria masomo.
Vladimir Putin alitangaza oparesheni ya kijeshi nchini Ukraine saa 5.55 asubuhi majira ya Moscow - na dakikaka chache baadaye makombora ya kwanza yalirushwa Ukraine, kulingana na ripoti.
Katika mji mkuu wa Kyiv, king'ora cha dharura kililia, na picha zinaonyesha msururu wa magari yakifunga barabara ya mwendokasi huku watu wakiukimbia mji huo.
Pia mtoto wa muigizaji wa filamu za kitanzania mtoto wa monalisa anae tambulika kwa jina la Sonia nae yupo masomoni Ukraine, Mama yake (monalisa) ametoa neno katika mitandao yake ya kijamii juu ya mawazo aliyonayo kwa sasa.
====
Njinsi Rais Vladmir Putin alivyo tangazo tahadhari kwa watakao ingilia mzozo huo.