Watanzania wanaoishi Ukraine wazungumza kuhusu hali ya hofu iliopo

Wanataka nini hawa, mbona serikali ilikwisha sema inawafuatilia kwa karibu na wako salama, wataliyumbisha dishi la ufuatiliaji kwa viherehere vyoa.
Hawa walisema kabla ya serikali kutoa tamko lolote
 
Lakini mbona kama walisema wamefanya utaratibu na wamewapa hifadhi nchi jirani ya Poland ili warejee nchini.
hebu nambie ni chombo gani cha serekale ya CCM kilichofanya jitihada za kuwasaidia waTanzania waliokwama hapo UKRAINE? na wamewapa msaada gani? wakati kila kukicha ni viliotu wahanga wanaomba serekale ya ccm iwasaidie kuwaokoa
 
Kwa mujibu wa serikali ndio walisema hivyo kuna uzi humu ngoja niutafute walivyo toa kauli hiyo.
 
🐒🐒🐒
 
Lakini mbona kama walisema wamefanya utaratibu na wamewapa hifadhi nchi jirani ya Poland ili warejee nchini.
Hakuna mwafrika au muhindi aliyepokelewa Poland ndio maana India inaitumia Urusi hiyo hiyo kuwatoa raia wake na Tanzania leo inafuata mkondo huo huo
 
Dah basi kazi ipo
 
Wanataka nini hawa, mbona serikali ilikwisha sema inawafuatilia kwa karibu na wako salama, wataliyumbisha dishi la ufuatiliaji kwa viherehere vyoa.
Serikali za Africa unazijua au unazisikia? Wao wanajali zaidi mikopo na vitu vya bure bure ndio maana tuna msemo wetu bosi hanuniwe
 
Back
Top Bottom