Watanzania wanaoishi Ukraine wazungumza kuhusu hali ya hofu iliopo

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
Mtanzania aliyeopo Ukraine aeleza jinsi hali ilivyo katika mji wa Kharkiv ambapo anasoma masomo yake ya udaktari bingwa. Akizungumza, Dkt. Evans Liseki. Amesema milipuko kadhaa imesikika na. wameamriwa kukaa ndani na mamlaka hivyo ameshindwa kuhudhuria masomo.

Vladimir Putin alitangaza oparesheni ya kijeshi nchini Ukraine saa 5.55 asubuhi majira ya Moscow - na dakikaka chache baadaye makombora ya kwanza yalirushwa Ukraine, kulingana na ripoti.

Katika mji mkuu wa Kyiv, king'ora cha dharura kililia, na picha zinaonyesha msururu wa magari yakifunga barabara ya mwendokasi huku watu wakiukimbia mji huo.

Pia mtoto wa muigizaji wa filamu za kitanzania mtoto wa monalisa anae tambulika kwa jina la Sonia nae yupo masomoni Ukraine, Mama yake (monalisa) ametoa neno katika mitandao yake ya kijamii juu ya mawazo aliyonayo kwa sasa.
====
Njinsi Rais Vladmir Putin alivyo tangazo tahadhari kwa watakao ingilia mzozo huo.
 
Dah pole Yao

MUNGU azidi kuwalinda mrudi salama
 
Vita sio poa. Wakilenga handaki mnapona kweli?
Shevishenko yuko zake Italy anafundisha ligi kuu
 
Cop and past (plagiarism) BBC swahili
 
sisi tunawasaidia wanaotuletea pesa tu nyie vibaka mliokimbilia huko ughaibuni mtajijua wenyewe jiokoeni wenyewe
 
sisi tunawasaidia wanaotuletea pesa tu nyie vibaka mliokimbilia huko ughaibuni mtajijua wenyewe jiokoeni wenyewe
Unasema hivyo kisa huna Mtoto/Ndugu aliye huko.
Kimbembe kilichopo huko so kitoto. Jiulize leo kuna mwanachuo anae soma huko ni Raia wa Nigeria amefariki kisa hiyo vita yao.
 
Stupidity
 
Unasema hivyo kisa huna Mtoto/Ndugu aliye huko.
Kimbembe kilichopo huko so kitoto. Jiulize leo kuna mwanachuo anae soma huko ni Raia wa Nigeria amefariki kisa hiyo vita yao.
 
Dah ni kawaida si CCM tu hata mataifa mengine ya Afrika yanalaumu juu ya hili.
 
Dah ni kawaida si CCM tu hata mataifa mengine ya Afrika yanalaumu juu ya hili.
swala sio kulaumu swala ni unawaokoaje familia yako iliyokwama huko. na badala yake tunaona maigizo wanayotufanyia hapa eti watawahifadhi watalii wa ukraine kuwapa malazi na huduma zote mpaka waseme basi wakati watoto wetu wanaoteseka huko kwa hao tunawasadia... serikali ya CCM haina mpango wowote wa kuwasaidia zaidi ya kuwaambia JIOKOENI WENYEWE.. SHWAIN SANA HAWA NDEZI WA LUMUMBA
 
Lakini mbona kama walisema wamefanya utaratibu na wamewapa hifadhi nchi jirani ya Poland ili warejee nchini.
 
Wanataka nini hawa, mbona serikali ilikwisha sema inawafuatilia kwa karibu na wako salama, wataliyumbisha dishi la ufuatiliaji kwa viherehere vyoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…