Watanzania wanaokuboa

Watanzania wanaokuboa

Na mimi pia nipigie niipime sauti yako.

ZD unataka nani akupigie hapo ??

GP my dia,akikupigia wewe na mimi tutakuwa majaji wawili ,si anasema sauti ya mwenziwe mbaya.tuone kama anweza imba kwaya au kutangaza

wewe ZD, naogopa kumpiga ovateki blaza Xpin!.


Usiwe mwoga,haya ni masuala ya u-judge tu na interview.ukizingatia Xpin hana noma na wewe.

He! Ha! He! Hii ngoja niifanyie kazi! Lol! Mungu Wangu!

Ohooo mpwa1,
naona umekuja kwa kasi ya ajabu.
 
Wakati fulani marekani robin givens aliwahi kutajwa
kuwa ndo the most hated woman in america,,,
enzi hizo watu walikuwa wanamuona ndo chanzo cha mike tyson kuchanganyikiwa,,,,,hasa aliposema aliolewa na tyson for money......

Any way hivi leo kwa hapa tanzania ni nani ambaye tunaweza
kusema ndo mtanzania anaetuboa zaidi?????
Tukiacha wanasiasa hasa wa ccm.
Kwenye upande wa burudani na jamii ni watanzania gani
kama wapo unafikiri wana kuboa kupita kiasi????????

Dah mi namchukia sana Ben Kinyaiya.Ni mtu ambaye ana Publicity kubwa halafu muda wake mwingi kujipodoa kama mtoto wa kike.Actually I hate all Gays.
 
[/COLOR][/B]Ohooo mpwa1,
naona umekuja kwa kasi ya ajabu.

Thats my cousin over there. Nimekutwangia senks pale, kathibitishe. Na zawadi yako ni taska kadhaa za baridi kesho saa tisa alasiri sharp. Usikose!
 
Angalia avatar yake utamuuelewa kwa vile ni mshirikina anahisi watu tulyo mpokea YESU tunatishiwa.

Bwa ha ha.. Comment yako inaonesha ulivyo onesided na unaishi zama za mawe..lolz. Jaribu kupekua ujue ulimwengu unaendaje.
 
Thats my cousin over there. Nimekutwangia senks pale, kathibitishe. Na zawadi yako ni taska kadhaa za baridi kesho saa tisa alasiri sharp. Usikose!

heheheeee, RESPECT mkuu, ujue ukila vya watu na vyako vitaliwa!.
thus why nilimtafadhalisha shemiji ZD mapemaaaaa.
nimeiona senksi mkuu, hahahaaa.
 
Kweli ukitaka kujua tabia ya member wa JF angalia AVATAR yake kuna watu washari sijapata kuona.

ha ha haaa kama huyo jamaa hapo pembeni ya Nguli..yaani siku asipotafuta kumpa kibano Jerry haoni raha!!

anyway ...unayosema ni kweli kabisa, thanks
 
heheheeee, RESPECT mkuu, ujue ukila vya watu na vyako vitaliwa!.
thus why nilimtafadhalisha shemiji ZD mapemaaaaa.
nimeiona senksi mkuu, hahahaaa.

Hahaha! Niliiona hiyo. Yeye ndiye ana kesi ya kujibu. Ila kesho usiache kuja nikutwange kadhaa za hongera kwa uaminifu wako. Mi kunywaga maulabu peke yangu huwa hayanogagi sana.
 
Hahaha! Niliiona hiyo. Yeye ndiye ana kesi ya kujibu. Ila kesho usiache kuja nikutwange kadhaa za hongera kwa uaminifu wako. Mi kunywaga maulabu peke yangu huwa hayanogagi sana

heheheeee, haina noma mkuu tutawasiliana tuone itakuaje, coz kuna kashughuli fulani maeneo, kakiisha mapema ntatia timu mpwa!.
 
Dada yangu Omba na Mshukuru Mungu kwa kuwa hujakutana na mpwa wangu Mr. Nguli. Anapenda sana testi za mabinti wenye nyodo.

Bwa ha hah..Watu wa bara bwana, sasa wewe ktk your right mind, umeshawahi lini kusikia mwanamke akiitwa Abdulhalim bin Mualem ?
 
Back
Top Bottom