Watanzania Wanaongea Sana Kuliko Wakenya Na Waganda?

Sijui waganda lakini Wakenya ni wambeya kuliko watanzania. Watanzania tunaongea sana lakini ukweli, hata wamarekani wanaongea sana siyo kitu kibaya kuongea.
 

Iko njia ionekanayo machoni mwa watu kuwa njema kwa kitambo, ila siku ikigungulika njia nyingine mbadala hap[o ndipo ile njia ya awali husaulika, sasa ccm fanyeni mnavyoweza ila siku moja mtasaulika tu , hatujui ni lini ila saa yaja ,

waweza kusema huyu mkurya ameanza midadi yake ila tambueni vita yetu kule home inachangiwa na vipato vidogo kwa jamii yetu na si lingine
 
Sijui waganda lakini Wakenya ni wambeya kuliko watanzania. Watanzania tunaongea sana lakini ukweli, hata wamarekani wanaongea sana siyo kitu kibaya kuongea.

Nakubaliana na hilo. Waganda utakuta ndani ya duka moja wauzaji ishirini. Na maofisini ukienda hawafanyi kazi kabisa hasa hasa ofisi za serikali.
 

Eyo ne eng'ana murra! Taruma. CCM's power need to be checked otherwise tutabaki nyuma daima.
 

Na si lingine kweli? Wilaya ya TARIME si katika zilizo MASIKINI katika Nchi hii!
ONDOENI AIBU hii ambayo mimi naamini inazo sababu nyingine zaidi ya hii ulooisema hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…