Watanzania wanaongoza kwa vyeo bila kuwa na kazi!

mkulungwa02

Senior Member
Joined
May 24, 2020
Posts
193
Reaction score
154
Watanzania tunatisha sana katika suala la kuwa na vyeo bila ya kuwa na kazi popote pale.

Unaweza pita njiani ukasikia vyeo kama kamanda, boss, kiongozi, mtaalamu, fundi, brigedia, jenerali, tajiri,

Kuna cheo chochote uliwahi kiskia tofauti na hivyo hapo juu?
 
Watanzania tunatisha sana katika suala la kuwa na vyeo bila ya kuwa na kazi popote pale
Unaweza pita njian ukaskia vyeo kama kamanda,boss,kiongozi,mtaalamu,fundi,brigedia,jenerali,tajiri,
Kuna cheo chochote uliwah kiskia tofaut na hivyo apo juu?
Hahahaaaa!!!
 
Mie kuna mwanangu namuita Mkurugenzi 😂😂😂 japo anashinda kijiweni
 
Watanzania tunatisha sana katika suala la kuwa na vyeo bila ya kuwa na kazi popote pale.

Unaweza pita njiani ukasikia vyeo kama kamanda, boss, kiongozi, mtaalamu, fundi, brigedia, jenerali, tajiri,

Kuna cheo chochote uliwahi kiskia tofauti na hivyo hapo juu?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Ngumi jiwe, pieree liquid
 
Watanzania tunatisha sana katika suala la kuwa na vyeo bila ya kuwa na kazi popote pale.

Unaweza pita njiani ukasikia vyeo kama kamanda, boss, kiongozi, mtaalamu, fundi, brigedia, jenerali, tajiri,

Kuna cheo chochote uliwahi kiskia tofauti na hivyo hapo juu?

Ukiwa mjini lakini hujawahi kuitwa hayo majina aiseee jitafakari sana au chukua maamuzi urudi kijijini ukaanze upya [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaha
Mimi wananiita sana Jemedari au Captain
 
hii kitu ipo sana mtaani.utasikia mtu anakuita chief au mzee baba niaje.
 
Nimeona fundi hapo nikakumbuka msemo nlikutana nao sehemu "Chombo ya fundi" naomba kujua huu msemo una maama gani kwa anayefahamu.
 
Unabadilika kulingana na mazngira unavotumika kama ni gari mtu akisema chombo ya fundi manake hyo kali ni hatar sana inafaa kwa matumizi, kama ni mtoto wa kike basi ni mtoto mlito kaumbika kweli yani
Ko chombo ya fundi linamaana nyingi kutegemea na muktadha ila manake kimsingi ni ki2 Fulani kizuri na chenye thamani
 
Back
Top Bottom