mkulungwa02
Senior Member
- May 24, 2020
- 193
- 154
Hahahaaaa!!!Watanzania tunatisha sana katika suala la kuwa na vyeo bila ya kuwa na kazi popote pale
Unaweza pita njian ukaskia vyeo kama kamanda,boss,kiongozi,mtaalamu,fundi,brigedia,jenerali,tajiri,
Kuna cheo chochote uliwah kiskia tofaut na hivyo apo juu?
Hatari sana hiiMwamba, jiwe
Mkuu hujawah kukutana na cheo chochote ?Hahahaaaa!!!
Mie kuna mwanangu namuita Mkurugenzi 😂😂😂 japo anashinda kijiweniWatanzania tunatisha sana katika suala la kuwa na vyeo bila ya kuwa na kazi popote pale
Unaweza pita njian ukaskia vyeo kama kamanda,boss,kiongozi,mtaalamu,fundi,brigedia,jenerali,tajiri,
Kuna cheo chochote uliwah kiskia tofaut na hivyo apo juu?
HahahhahahahaMie kuna mwanangu namuita Mkurugenzi 😂😂😂 japo anashinda kijiweni
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Ngumi jiwe, pieree liquidWatanzania tunatisha sana katika suala la kuwa na vyeo bila ya kuwa na kazi popote pale.
Unaweza pita njiani ukasikia vyeo kama kamanda, boss, kiongozi, mtaalamu, fundi, brigedia, jenerali, tajiri,
Kuna cheo chochote uliwahi kiskia tofauti na hivyo hapo juu?
Hahahhahahah😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Ngumi jiwe, pieree liquid
Watanzania tunatisha sana katika suala la kuwa na vyeo bila ya kuwa na kazi popote pale.
Unaweza pita njiani ukasikia vyeo kama kamanda, boss, kiongozi, mtaalamu, fundi, brigedia, jenerali, tajiri,
Kuna cheo chochote uliwahi kiskia tofauti na hivyo hapo juu?
HahahahaUkiwa mjini lakini hujawahi kuitwa hayo majina aiseee jitafakari sana au chukua maamuzi urudi kijijini ukaanze upya [emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahaMkuu(jf),kuna boya anapenda kujiita mjeshi
HahahahaMkuu, chief, kiongozi
Unabadilika kulingana na mazngira unavotumika kama ni gari mtu akisema chombo ya fundi manake hyo kali ni hatar sana inafaa kwa matumizi, kama ni mtoto wa kike basi ni mtoto mlito kaumbika kweli yaniNimeona fundi hapo nikakumbuka msemo nlikutana nao sehemu "Chombo ya fundi" naomba kujua huu msemo una maama gani kwa anayefahamu.