Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,609
- 5,144
Nimeona fundi hapo nikakumbuka msemo nlikutana nao sehemu "Chombo ya fundi" naomba kujua huu msemo una maama gani kwa anayefahamu.
No, lilikua limeandikwa nyuma ya basiWewe ndo uliitwa hivyo?
Nmekupata hapo, asante sana kwa ufafanuzi. Kila kukicha watu wanaibua maneno mapyaUnabadilika kulingana na mazngira unavotumika kama ni gari mtu akisema chombo ya fundi manake hyo kali ni hatar sana inafaa kwa matumizi, kama ni mtoto wa kike basi ni mtoto mlito kaumbika kweli yani
Ko chombo ya fundi linamaana nyingi kutegemea na muktadha ila manake kimsingi ni ki2 Fulani kizuri na chenye thamani
Karibu sanaNmekupata hapo, asante sana kwa ufafanuzi. Kila kukicha watu wanaibua maneno mapya
Baharia, Mtumishi,mnene hata kama ni kimbaumbau
Utaskia oya kiongozi eehChief
Kiongozi
No, lilikua limeandikwa nyuma ya basi
Watanzania tunatisha sana katika suala la kuwa na vyeo bila ya kuwa na kazi popote pale.
Unaweza pita njiani ukasikia vyeo kama kamanda, boss, kiongozi, mtaalamu, fundi, brigedia, jenerali, tajiri,
Kuna cheo chochote uliwahi kiskia tofauti na hivyo hapo juu?
HahahahhahaMtu mzito
Legendary au cyo HII KUBWA KULIKO"Legendali"
Iko sana hiiMkubwa,afsaa
Ndo naiskia hii Leo Mkubwa "kakobe"Kakobe
Hahahaha MenejaKapteni....
Meneja