Watanzania wanaongoza kwa vyeo bila kuwa na kazi!

Niko zangu site kuanza injinia hadi Saudia fundi wote wananiita boss hadi nahisi kuanza kunenepa
 
Baharia, Mtumishi,mnene hata kama ni kimbaumbau
nna bro wangu mmoja ni mwembamba sana ila kwa kuwa huwa anawatoa toa vijana shilingi wanamuita munene........basi siku naambiwa twende kwa munene najua naenda kwa jamaa bonge kumbe huyo bro.
 
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ Captain
 
Unakuta mtu anaitwa Afisa na hana kazi yeyote ile!
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Kuna jamaa amesoma HKL mtaani tunamuita Engineer๐Ÿ˜€๐Ÿ˜†๐Ÿ˜€
 
Chief, Mkuu, Director, Inspector
Cha ajabu wote Hawa bado wanahangaika na kutafuta pesa ya mlo unaofuata
 
Bongo kuna hiki cheo pia.
 

Attachments

  • Screenshot_20200513-222656.jpg
    60.7 KB · Views: 1
Kinara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ