Naulizia kama kuna mtanzania anayesoma katika mji wa wuhan huko China au anayeufahamu mji huo. Kama yupo naomba ani pm.
Yap kaka. Unapafahamu nini?
Karibu Mongolia.....usiache kunitembelea......
Hongera sana mkuu, wachina wanaenda ulaya & us kusoma na watz tunaenda china kusoma!
Hivi kuna kupiga box huko kweli brother?
Naulizia kama kuna mtanzania anayesoma katika mji wa wuhan huko China au anayeufahamu mji huo. Kama yupo naomba ani pm.
Sorry kumbe ni sister. Haina shida
Me niko hapa beijing,ni PM fasta.
Me niko hapa beijing,ni PM fasta.
Box utalipiga wapi wakati wao wenyewe hawana kazi, population ya 1.3 bilion kazi zitatoka wapi?Hongera sana mkuu, wachina wanaenda ulaya & us kusoma na watz tunaenda china kusoma!
Hivi kuna kupiga box huko kweli brother?