Watanzania wanaosoma katika mji wa wuhan nchini china

NEW NOEL

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2011
Posts
863
Reaction score
408
Naulizia kama kuna mtanzania anayesoma katika mji wa wuhan huko China au anayeufahamu mji huo. Kama yupo naomba ani pm.
 
Hongera sana mkuu, wachina wanaenda ulaya & us kusoma na watz tunaenda china kusoma!

Hivi kuna kupiga box huko kweli brother?
 
Mm kuna mdada mmoja mzenji yupo huko anapiga medicine...but naogopa kukuunganisha nae ucje ukanipindua..
 
Karibu Mongolia.....usiache kunitembelea......
 
Acheni kujisifia tunajua mnasoma abroad.........just msaidieni mwenzenu kama mnapajua.....
 
Hongera sana mkuu, wachina wanaenda ulaya & us kusoma na watz tunaenda china kusoma!

Hivi kuna kupiga box huko kweli brother?

Sijaelewa maudhui ya hii sehemu.....wachina wanaenda ulaya & us kusoma na watz tunaenda china......hebu funguka zaidi
 
Naulizia kama kuna mtanzania anayesoma katika mji wa wuhan huko China au anayeufahamu mji huo. Kama yupo naomba ani pm.

Umepangiwa kusoma Chuo gani huko?

I used to live in Wuhan miaka michache iliyopita....

And I guess u should PM instead kwani weye ndio muhitaji hapa...
 
Mimi nipo shanghai , kuna hali nzuri ya hewa ,wuhan kuzuri pia tatizo vibaka wengi
 
Hongera sana mkuu, wachina wanaenda ulaya & us kusoma na watz tunaenda china kusoma!

Hivi kuna kupiga box huko kweli brother?
Box utalipiga wapi wakati wao wenyewe hawana kazi, population ya 1.3 bilion kazi zitatoka wapi?
 
Back
Top Bottom